Bei za huawei y300

Status
Not open for further replies.

Olympus

JF-Expert Member
Jul 27, 2013
2,817
668
Naomba kuuliza eti bei za huawei y300 ni kiasi gani madukani-
NB>NAZOZIONGELEA MIMI SIO ZILE ZINAZOUZWA KWA PROMOSHENI KATIKA MITANDAO YA SIMU KAMA Tigo
 
Naomba kuuliza eti bei za huawei y300 ni kiasi gani madukani-
NB>NAZOZIONGELEA MIMI SIO ZILE ZINAZOUZWA KWA PROMOSHENI KATIKA MITANDAO YA SIMU KAMA Tigo

kwa daslam ni laki 3 na nusu mpaka laki 3.... brand new au boxed kabisa
 
Za Tigo sasa hv hupati tena kwa ile bei waliosema ya 199000. Washapeana wenye we wafanyakazi wanasukuma mtaani kwa bei zao wenye we!
 
kwa daslam ni laki 3 na nusu mpaka laki 3.... brand new au boxed kabisa

Mkuu...hii simu haipaswi kuzidi 250,000 Tshs na hiyo ndio bei elekezi kutoka kwa Huawei.

Ukinunua zaidi ya hapo ujue umepigwa
 
Kwa vigezo vipi?...!

Easy tu ukifikiria. tiGO wauze Tsh 195,000 locked. Ku-Unlock ni Tsh.15,000. Inamaana, Unakua umetumia Tsh.210,000. Sio wajinga sana wauze simu ya Tsh.350,000 kwa Tsh195,000 aisee.

Jamaa yuko sahihi Huawei Y300 dukani haizidi Tsh 250,000.

Labda kama mlikua mnataniana na mimi nimeingilia utani usionihusu.
 
Kuna huawei ascend P6, nimetafuta maduka mengi Dar hakuna tena wanakushangaa as if unaongelea kitu substandard.
Kama kuna mtu anajua duka wanalouza huawei tafadhali...
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom