Naomba kuuliza eti bei za huawei y300 ni kiasi gani madukani-
NB>NAZOZIONGELEA MIMI SIO ZILE ZINAZOUZWA KWA PROMOSHENI KATIKA MITANDAO YA SIMU KAMA Tigo
Mi natafuta Lumia 1020
Za Tigo sasa hv hupati tena kwa ile bei waliosema ya 199000. Washapeana wenye we wafanyakazi wanasukuma mtaani kwa bei zao wenye we!
Tigo shop Ir zipo still...
https://www.jamiiforums.com/habari-...umasikini-sasa-ni-milionea-3.html#post8002847Brand new ni 1.2M ila used nimeona kwa 720-900Tsh.
Wapi? Mlimani City au Shekilango?
Wapi tafadhali?
kwa daslam ni laki 3 na nusu mpaka laki 3.... brand new au boxed kabisa
Mkuu...hii simu haipaswi kuzidi 250,000 Tshs
hahah mkuu hekimatele nilivosema Ir nilimaanisha Iringa mkuu. Soorry.
Kwa vigezo vipi?...!
Kwa vigezo vipi?...!
Kuna huawei ascend P6, nimetafuta maduka mengi Dar hakuna tena wanakushangaa as if unaongelea kitu substandard.
Kama kuna mtu anajua duka wanalouza huawei tafadhali...
Ili dude ni monster... Huawei Ascend P6 - Full phone specifications duuh,,,:faint2: