Elections 2010 Bei za bidhaa kupanda ni matokeo ya uchaguzi?

Kingo

JF-Expert Member
May 12, 2009
855
390
Wana JF naomba mnijuze kama kuna uhusiano wa kuanza kupanda kwa bei za bidhaa mbalimbali madukani na matokeo ya uchaguzi. Au ndo tunaanza kurudisha gharama za t-shirts na mabango? sioni any economic justification kwa hizi bei mpya! Naomba kuwasilisha.
 
Mlishaambiwa kuchagua CCM ni maafa. Sasa hizi zinaitwa rasha rasha! Watanzania lazima washike adabu this time!
 
natamani lita moja ya petroli ifike elfu kumi ili waTz*wapate akili, yaani tufike ka zimbabwe hivi
 
Wana JF naomba mnijuze kama kuna uhusiano wa kuanza kupanda kwa bei za bidhaa mbalimbali madukani na matokeo ya uchaguzi. Au ndo tunaanza kurudisha gharama za t-shirts na mabango? sioni any economic justification kwa hizi bei mpya! Naomba kuwasilisha.

Tupe mfano mkuu, nini kimepanda bei na kwa kiasi gani?
 
Rafiki yangu leo kaniambia bei ya cement imefika elfu 20 katika mkoa Mbeya,

Nafikiri hiyo ni beep ya JK
 
Nilishawai andika kuwa watz tujiandae kufunga mikanda hamkunielwa
 
Leo nimenunua petrol sh.1850 badala ya 1700 nilizotumia kununulia kituo hicho hicho jumanne
 
Na vitu vitapanda zaidi. Alipoingia madarakani alikuta balance ya Ben, sasa sijui baada ya miaka 5 amebakiza balance yoyote.
 
Hii hali ndio inakuja na sasa tufnge mkanda pia nafikiri kama serikali isipo kua makini tutegemee kupata maandamano kwani wananchi watashindwa kuvumilia kabisa.
 
Nilishawai andika kuwa watz tujiandae kufunga mikanda hamkunielwa

Mkuu Njowepo !! Uko sawa kabisa. Yaani hii ni trailer tu sinema yenyewe inakuja fedha yote ya kampeni lazima irudi. Tutegemee mkate kwa 5000 tsh.
 
NI lazima bei zipande sana kwani ufujaji wakati wa uchaguzi haukuwa na kifani. Watanzania wanatwisha mizigo wasiyojitakia na mtu ambaye ameiba kura ili aendelee kuwatawala.
 
Naona watanzania wanaelewa matendo zaidi kuliko maneno ngoja yawasibu then watatia akili.
Lazima tulipia wote kwa ujumla gharama za uchaguzi wa CCM manake this time EPA MONEY haikuwepo
 
Bora bei ya kila ipande ili watanzania wengi wenye kipato cha chini wapigike, wakilalama mi ntakua nawacheka tu. Wakitaka maandamano ili bei zipunguzwe nitawacheka zaidi.
 
Makusanyo ya kodi zilizokusanywa na TRA mwezi wa tisa na kumi ziliwekwa kwenye account za ccm.
 
i am very very very disappointed na watanzania! full stop!

Hashycool, TZ ni nchi yenye mambumbu wengi sana, yaani huwezi amini! Utasikia sasa hivi wanaanza kulalamika maisha magumu, ukiuliza linakuambia tumuache amaliziee miaka mitano, huku miguu inavumbi na amevaa tisheti la kijani!
 
Back
Top Bottom