Bei za Android apps kutofautiana kutokana nchi na nchi

Superpower

JF-Expert Member
Oct 11, 2018
503
500
Habarini wapendwa kama kichwa kilivyo jieleza ni mwaka Sasa tangu nitumie playstore Kama ninaishi marekani yaani nilichange location Sasa nashangazwa na Bei za apps katika ya TSH na USD. Tanzania price iko chini kidogo Sasa naomba kujuzwa Kama Kuna Kodi inaongezeka au ndio hivyohivyo mfano wa hii canva in USA ilikua

$12 per month/ $ 119 per year

Screenshot_20210830-112715.jpg
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
26,221
2,000

View attachment 1916280
Kwenye mgawanyo Google wanapata 30% na developer ni 70%

Assume app inauzwa $10 ina maana Google anapata $3 na developer wa app $7.

Hivyo bei halisi hapo ni $7 hio $3 ni faida tu.

Nchi zetu hizi Google anatoa kama Ruzuku. So chukua Asilimia 70 ya app husika toka US, linganisha na bei yetu kinachozidi ama kupungua cha Google hiko.
 
Superpower

JF-Expert Member
Oct 11, 2018
503
500
Kwenye mgawanyo Google wanapata 30% na developer ni 70%

Assume app inauzwa $10 ina maana Google anapata $3 na developer wa app $7.

Hivyo bei halisi hapo ni $7 hio $3 ni faida tu.

Nchi zetu hizi Google anatoa kama Ruzuku. So chukua Asilimia 70 ya app husika toka US, linganisha na bei yetu kinachozidi ama kupungua cha Google hiko.
Asante Sana aisee nimeenda quora sijaelewa kitu ila hapa nimekuelewa aisee kwahiyo ikiandikwa ndio hio hio Haina nyongeza.
 
Ukwaju

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
12,845
2,000
App za simu mbona bei ya Bia tu? Nyingi 2000 zikizidi 10,000, kama ni kitu unatumia kila siku unalipa tu.
Chief-Mkwawa nami nimekutana na kitu km hicho kwenye VPN
nimedownload kwenye Play store nikajaza kila kitu, naona bado wananiambia Login nakosea au inahitajika nilipie?
je ipo VPN nyingine ya Android ambayo ni free?
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
26,221
2,000
Chief-Mkwawa nami nimekutana na kitu km hicho kwenye VPN
nimedownload kwenye Play store nikajaza kila kitu, naona bado wananiambia Login nakosea au inahitajika nilipie?
je ipo VPN nyingine ya Android ambayo ni free?
Unataka kubypass tu website ama unataka full VPN?

Kama ni kubypass tu Tafuta browser zenye proxy/VPN built In kama opera mini ama Epic browser.

Download Epic playstore cheki setting zake utakuta kuna option ya kudownload plugin/addons ya proxy, download kisha seti nchi unayotaka, kisha browse unachotaka.
 
Ukwaju

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
12,845
2,000
Unataka kubypass tu website ama unataka full VPN?

Kama ni kubypass tu Tafuta browser zenye proxy/VPN built In kama opera mini ama Epic browser.

Download Epic playstore cheki setting zake utakuta kuna option ya kudownload plugin/addons ya proxy, download kisha seti nchi unayotaka, kisha browse unachotaka.
Asante ngoja nijaribu km ulivyoelekeza maana nataka full VPN
kwenye Opera kuna hiyo Epic Playstore au nitumie hii ya Android?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom