Bei ya vifurushi vya internet kwa sasa ni fashion

Hivi voda huduma yao ya vifurush vya chuo ikoje,,maana kula nikijiunga haikubali au mpaka uwe mwana chuo
 
ndio maana mm nnatumia voda tsh 2000 gb3 kw siku 5 na kasi ya 4g.... mtandao ukiwa slow nna hamia airtel gb2 kw siku 3 na dk 100 aitel to airtel na dk 10 mitandao yote...
Daah ila mb za voda zinaenda kama unamwaga maji chin vileee
 
Back
Top Bottom