Bei ya Umeme kupanda zanzibar

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Wananchi wa zanzibar kuanzia mwezi ujao nao wataanza kuonja shubir ya kulipia gharama za umeme kwa kiwango cha juu,hatua hiyo imekuja baada ya gharama za umeme kupanda kwa asilimia 85,
sosi:dw radio
 
Wananchi wa zanzibar kuanzia mwezi ujao nao wataanza kuonja shubir ya kulipia gharama za umeme kwa kiwango cha juu,hatua hiyo imekuja baada ya gharama za umeme kupanda kwa asilimia 85,
sosi:dw radio

Inapanda kwa asilimia 85 toka Tsh. ngapi? jaribu kuwa specific kidogo
 
Bado ni ndogo sana, Bara wanalipa 276 kwa unit kwa mtumiaji wa kawaid nyumbani. Bado tunawalipa fadhila.
 
Hassan ally mbaruku ambae ni meneja wa ZECO amesema bei ya umeme zanziba ni nafuu sana tofaut na nchi nyingine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom