Wananchi wa zanzibar kuanzia mwezi ujao nao wataanza kuonja shubir ya kulipia gharama za umeme kwa kiwango cha juu,hatua hiyo imekuja baada ya gharama za umeme kupanda kwa asilimia 85,
sosi:dw radio
Inapanda kwa asilimia 85 toka Tsh. ngapi? jaribu kuwa specific kidogo
Bado ni ndogo sana, Bara wanalipa 276 kwa unit kwa mtumiaji wa kawaid nyumbani. Bado tunawalipa fadhila.
Bado ni ndogo sana, Bara wanalipa 276 kwa unit kwa mtumiaji wa kawaid nyumbani. Bado tunawalipa fadhila.
Kwani bei ya umeme visiwani ni tofauti na bara?? Kwa nini??
wataununua umeme shilingi 160 kwa unit,
lakini kwa sasa bei ya umeme ni sh 120 kwa unit,
Tuantoa rushwa ili wazenji wapende muungano.hapo ndo wamepandisha nini? Huku tunanunua sh 276, haitoshi hiyo tanesco wanapaswa kupandisha tena