bei ya sukari

Mmmmhh! Wait kidogo niangalie simu inayoita kama ni ya furaha kwangu kuhusu ile safari yangu hapo South Sudan ya kutafuta uwenyeji ktk Nchi mpya.
 
Mbona kuna sukari ya kutosha tu, upungufu ni kitu cha kawaida tu. Sasa wewe hapa ukilalamika na mtu anayeishi Somalia atasemaje?
 
Bei ya sukari imepanda africa mashariki yote na serikali ya Tanzania imeshachukua hatua ya kuruhusu makampuni kuagiza sukari nje ili kupambana na upungufu huu,
Sukari iliyoagizwa haitakatwa kodi ili kuifanya bei yake kuwa chini kuwezesha mwananchi wa kawaida kununua.
Uganda bei ya sukari ni sh 5000 hadi 6000 kwa jiji la kampala,na sh 8000 nje ya kampala.
Kenya sukari yauzwa sh 200 ambayo ni sawa na sh 3600 za kitanzania.
 
Wananchi waelimishwe madhara ya sukari ili kupunguza matumizi yake.Mfano inasababisha kisukari n.k.
 
Back
Top Bottom