Bei ya Spark 4

da viper

Senior Member
Dec 3, 2013
158
43
Wadau habari zenu
Naomba kujua bei ya Tecno Spark 4
Pia na sifa zake kwa waliozitumia maana nimeulizia huku Tanga nikaambiwa hazijafika
 
Spark 4 sifa zake
Screenshot_20191020-204542_Chrome.jpeg
 
Wadau habari zenu
Naomba kujua bei ya Tecno Spark 4
Pia na sifa zake kwa waliozitumia maana nimeulizia huku Tanga nikaambiwa hazijafika
Kwa sifa hizo na bei hiyo bora uchukue Samsung a10 kwa 260k au A20 kwa 320k yenye kio cha super amoled, fast changing ndani ya saa 1¼cm imejaa 100% performance nzur haigandi gandi kijinga kama hayo ma infinix na matecno,
Screenshot_20191020-221000_Chrome.jpeg
Screenshot_20191020-221410_Chrome.jpeg
Screenshot_20191020-221525_Chrome.jpeg
 
Kwa msaada wa wengi nmeamua kuacha uvivu wa kutyope Mi nilikua nawachora tu wanavo jazana ujinga eti Samsung hazifai nawacheka kwa dharau nmetumia tecno. Kama simu 4 hivi mke wangu kama 3 sina hamu na hizo cm zinakera sana kuganda ganda kila mara haitaku kufanya vitu vingi kwa wakat mmoja itastaki tuu hamna kitu kina kera kama unataka ufanye mambo yako haraf cm inazingua hata habinyezeki wala haizimi

unaiangalia tu mpka unataka kuipasua chini au ukutani nyie msikie tu kama hujatumia tecno au simu yoyote ya MTK hazifai tumia simu zote ila sio MTK nadhani mmenielewa kuhusu kukaa na chaji

now Samsung wameboresha sana hasa hizi cm zinazotoka mwaka huu 2019 ni bara kweny kukaa na chaji hamna tofaut na hizo tecno now kuna wana cm hadi zenye betri nzur kuanzia 3000mah 3300, 3500, 4000mah, 5000mah na 6000mah hizo unakaa na chaji hatari.. Unachaji kwa fast charg cm ndani ya dakika 30 ina imeingiza asilimia40 hadi 50 hadi saa moja na robo au na nusu imejaa 100% cn gani ya MTK inajaa chaji kwa haraka hivo???!!

. We ukitaka shida ununue simu yenye betr ndogo mfano 1900mah au 2000mah au hata 2500 utapata tabu sana kila saa uko na chaji au powerbank ila now tu mesha sahau mambo za kutembea na chaji au powerbank. Samsung, oppo, xiaomi na zingine mpya mpya ni cm tamu kioo swafi super amoled laini, fasta kama una nawa na mrenda eti ukanunue matecno cjui ma itel mara ma infinix tupa hukoo
 
Asante sana kwa ushauri safi
Njmepata pa kuanzia

MTK sio nzote zinazogandaganda mfano zinatotumia Helio P22 octa core hizi zina fanya kazi karibia zote bila kusumbua . labda ww ulitumia tecno gni.
 
L8,c8,m7, k9+, infinix note 4 pro nk angalau hizo mtk mpya mpya za ki sasa zina unafuu sana ila za kizamani hamna kitu
MTK sio nzote zinazogandaganda mfano zinatotumia Helio P22 octa core hizi zina fanya kazi karibia zote bila kusumbua . labda ww ulitumia tecno gni.
 
inaganda mkuu,niliinunua nikatumia siku 2 tu nikamzawadia bi mkubwa akafurahi sana,nikaamua kununua Samsung s8+
hata infinix S4 inatumia media tek but bone la simu inafanya kazi ngumu zote bila kuganda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom