Bei ya pikipiki aina ya Boxer BM 150

2in1

JF-Expert Member
Mar 29, 2014
211
79
Wakuu habari za mida, naomba udadavuzi wa hiyo pikipiki ikiwa mpya kabisa kuanzia bei ya dukani, usajili, bima n.k namaanisha kuanzia ununuzi wa hiyo pikpiki mpaka itakapoingia barabarani itanigharimu sh ngapi ?
 
Mm nakushaur usinunue dukan mara nyingi wanachakachua engine,,cha kufanya nenda oficin kwao mkabala na sigara,,bei n million 2 laki 2 na elfu hamsin(2,250,000) hiyo n pamoja na helment Moja na kutranser,yaan unakabidhiwa ikiwa na jina lako(umiliki),, kama n ya biashara bima utaamua wew mwenyew kulingana na uwezo wako,zipo za laki na nusu(150,000) na zipo ndogo (69,000)kama sijasahau!!! Usisahau usalama barabaran ni buku 3(3000) japo kwenye stika wameandika buku!!! Kama pkpk itakuwa n ya matumiz binafs itakubid ubadili matumiz ya pkpk toka commercial to private ambapo gharama yake pamoja na kibao(plate number) ni 48,000!!!shughuli zote zitafanywa na aliekuuzia!! Kama upo dar utaitumia kuingia katikati ya jiji usisahau kibali kuepusha usumbufu!! Mm Nina rafiki angu huwa ananiuzia pkpk pale pale showroom yao ukitaka nikusaidie ili uuziwe kitu chenye uhakika bila longolongo njoo pm!! Sio dalali wala sitohitaji kulipwa nia yangu uuziwe kitu ambacho hutojuta!! But sikushaur ukanunue madukan has kariakoo utalia nayo!!!
 
Asante sana mkuu,nitakutafuta bro as soon nikikamilisha hiyo pesa now nina 1.8mil.Ni mwanafunzi wa chuo first year so nataka niifanye bodaboda
 
Do kuna binaadamu wanajuhid, hadi inashangaza
Mm nakushaur usinunue dukan mara nyingi wanachakachua engine,,cha kufanya nenda oficin kwao mkabala na sigara,,bei n million 2 laki 2 na elfu hamsin(2,250,000) hiyo n pamoja na helment Moja na kutranser,yaan unakabidhiwa ikiwa na jina lako(umiliki),, kama n ya biashara bima utaamua wew mwenyew kulingana na uwezo wako,zipo za laki na nusu(150,000) na zipo ndogo (69,000)kama sijasahau!!! Usisahau usalama barabaran ni buku 3(3000) japo kwenye stika wameandika buku!!! Kama pkpk itakuwa n ya matumiz binafs itakubid ubadili matumiz ya pkpk toka commercial to private ambapo gharama yake pamoja na kibao(plate number) ni 48,000!!!shughuli zote zitafanywa na aliekuuzia!! Kama upo dar utaitumia kuingia katikati ya jiji usisahau kibali kuepusha usumbufu!! Mm Nina rafiki angu huwa ananiuzia pkpk pale pale showroom yao ukitaka nikusaidie ili uuziwe kitu chenye uhakika bila longolongo njoo pm!! Sio dalali wala sitohitaji kulipwa nia yangu uuziwe kitu ambacho hutojuta!! But sikushaur ukanunue madukan has kariakoo utalia nayo!!!
Do kuna binaadamu wanajuhudi hadi inashangaza kama ni bure
 
Write your reply...
asante kwa taarifa mkuu,
unaweza ukanielekeza vzri hapo sigara ofsi zao zipo maeneo yapi kama nikiwa maduka mawili pale,
 
Hongera mkuu kwa kuwaza kununua pikipiki ili uwe unaingiza kipato wakati ukiwa Chuoni,umewaza vizuri sana Mungu akusaidie!!
 
Mm nakushaur usinunue dukan mara nyingi wanachakachua engine,,cha kufanya nenda oficin kwao mkabala na sigara,,bei n million 2 laki 2 na elfu hamsin(2,250,000) hiyo n pamoja na helment Moja na kutranser,yaan unakabidhiwa ikiwa na jina lako(umiliki),, kama n ya biashara bima utaamua wew mwenyew kulingana na uwezo wako,zipo za laki na nusu(150,000) na zipo ndogo (69,000)kama sijasahau!!! Usisahau usalama barabaran ni buku 3(3000) japo kwenye stika wameandika buku!!! Kama pkpk itakuwa n ya matumiz binafs itakubid ubadili matumiz ya pkpk toka commercial to private ambapo gharama yake pamoja na kibao(plate number) ni 48,000!!!shughuli zote zitafanywa na aliekuuzia!! Kama upo dar utaitumia kuingia katikati ya jiji usisahau kibali kuepusha usumbufu!! Mm Nina rafiki angu huwa ananiuzia pkpk pale pale showroom yao ukitaka nikusaidie ili uuziwe kitu chenye uhakika bila longolongo njoo pm!! Sio dalali wala sitohitaji kulipwa nia yangu uuziwe kitu ambacho hutojuta!! But sikushaur ukanunue madukan has kariakoo utalia nayo!!!
Last time nilinunua kariakoo baada ya wiki mbili tukafungua injini ila kuna nyingine tumechukua bajaj kwenyewe ina mwaka wa tatu now haijaguswa zaidi ya vitu vidogo
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom