Itunze hii thread kabla ya 2025 utarudi kuiniambia..kwa taarifa hata kahawa imepanda kama ilivyopanda mbole ..Suala la Corona limesabaisha uzalishaji hafifu wa mbolea viwandani hivyo kupqnda lakini pia wananchi wa mataifa makubwa hawakuilma kwa sbb ya kujifungia so..Tanzania ndo tumepata bahati..Usishangae mwaka kesho hali ikarudi ya bei ya kawaidaBahati mbaya Samia sio Magufuli