Bei ya Pamba Tanzania imepanda kwa 125% toka mwaka wa fedha 2020/21 - 2021/22

Bahati mbaya Samia sio Magufuli
Itunze hii thread kabla ya 2025 utarudi kuiniambia..kwa taarifa hata kahawa imepanda kama ilivyopanda mbole ..Suala la Corona limesabaisha uzalishaji hafifu wa mbolea viwandani hivyo kupqnda lakini pia wananchi wa mataifa makubwa hawakuilma kwa sbb ya kujifungia so..Tanzania ndo tumepata bahati..Usishangae mwaka kesho hali ikarudi ya bei ya kawaida
 
Wakulima walikuwa wanapigwa na mashirika na wanunuzi wakubwa
Iwe Pamba, Tumbaku na mazao mengine ya biashara

Ila sasa ni zamu ya wakulima kula jasho Lao kihalali
Fikiria huku nje bei kg moja ni kiasi gani

Mfano hai huu hapa wa Korosho
Kilo moja duka la jumla ni Tz Sh 44,000
Halafu angalia mkulima anapata nini
IMG_2320.jpg
 
Mama anatoa Tsh 23.8BL kwaajili ya elimu bure | Mimi Mama Samia hata akiongoza hadi 2035 ni poa tu,
 
Ndani ya Uongozi wa Rais Samia,
Mahakama huru,
Bunge huru,
NGOs huru
Media huru

TanzaniakwaniSisi tunatakaje?
 
Mwanamke wa kwanza kuhutubia baraza kuu la Umoja wa Mataifa la 76 tangu tupate uhuru ni Mama Samia Suluhu Hassan,

We Proud on you Mama
_________________________

IMG-20210918-WA0036.jpg
 
BEI YA PAMBA JUU,TOKA TZS 810 FY2020|21 HADI TZS 1,800 FY2021|22,KILA KONA YA NCHI NI SAMIA, SAMIA, SAMIA

Bei ya Pamba Tanzania imepanda kutoka Tshs 810/kg FY 2020|21 mpaka Tshs 1,720-1,800/kg FY2021|22 kwa kilo,Hii ni sawa na ongezeko chanya la 125% liicha ya awali bei hiyo kuzinduliwa kuwa Tshs 1,050/kg FY2021/22,Kwalugha rahisi kama sio Mama Samia bei ya Pamba leo ingesalia kuwa ni Tshs 1,050/kg.

Ni dhahiri hapa Mama kapindua Meza,Kasi hii ya Rais Samia Watoto wa Mjini wanaiita "Utajua Hujui" kwa muda huu mfupi wa Mama Samia bei ya Mbaazi, Kawaha, Alizeti, Korosho,Chai zote ziko juu na malipo yote yanafanyika mkono kwa mkono tena by " Cash money" Huko nyuma hawa wakulima wa Pamba Pamoja na kupewa bei ndogo ya Pamba yao bado Watoto hawa wa Masikini waliuza Pamba yao kwa Mkopo,Yaani " Masikini anamkopesha Tajiri " ( this could only happen in Tanzania) huwezi kukuta utaratibu huu popote duniani ila sasa "Mama hataki dhuluma, tumwombee"

Turufu pekee ya kisiasa Kanda ya Ziwa ni "Bei ya Pamba" Tangu Miaka ya 2000 Chama cha UDP cha Mzee John Cheyo na baadae Chadema kwa agenda ya "Bei ya Pamba" kwa kutumia slogani yao ya " NO CASH NO COTTON " yaani "HUNA HELA HUNA PAMBA" wamekuwa wakiihenyesha CCM katika kila Uchaguzi kosa la CCM ikiwa ni kushindwa kudhibiti "Bei Ya Pamba " Mzee John Cheyo alifanikiwa kuitoa Pamba toka Tshs 300 hadi Tshs 800 baadae Rais Jakaya Mrisho Kikwete akaipaisha mpaka kufikia wastani wa Tshs 1,420 FY2005|06-2015|16.Baada ya hapo bei ya Pamba imekuwa ikishuka kutoka Tshs 1,420 ya JK, to1,000 then 1,100 kisha 810 FY2020/21,Hi ni sawa na kusema,tangu Uhuru bei ya Pamba haijawahi kufikia Tshs 1,720-1,800/kg ila ni kwa awamu hii ya Sita na Mhe Samia Suluhu ndio Rais,

Wakati Mzee Jakaya anaondoka madarakani 2014|15 bei ya kuuza pamba nje ilikuwa Tshs 2,165/kg au US$ 1,038/Tani huku Mkulima akiuza kwa Tshs 1,420/kg,Wanunuzi|Walanguzi wa Pamba walipata faida ya Tshs 735/kg ya Pamba walioinunua,Lakini FY 2017|18 bei ya kuuza Pamba nje ilifikia US$ 1,371/Tani au Tshs 3,099,629/tani sawa na Tshs 3,010/kg huku Mkulima huyuhuyu akiuza Pamba kwa Tshs 1,100/kg, yaani katika kila "Kilo moja" ya Pamba walanguzi|Wanunuzi walipata faida ya Tshs 2,000/kg ya Pamba watakayouza nje.

Hii ni sawa na kusema Mnunuzi|Mlanguzi wa pamba FY2014|15 alipata faida ya Tshs 735/Kg kwa kununua Pamba kwa Tshs 1,420/kg toka kwa mkulima,Na Mnunuzi huyo wa Pamba FY 2017|18 alipata faida ya Tshs 2,000/kg tena kwa Pamba aliyoichukua kwa mkopo kwa bei ya Tshs 1,100/kg baada ya kuiza nje kwa Tshs 3,010/kg.Leo Mama Samia ameamua kupunguza faida ya Wanunuzi|Walanguzi wa Pamba ili kumtetea huyu Mlalahoi kwa Vitendo kwa kumwongezea Tshs 700/kg ya Pamba atakayouza iliyokuwa iende kwa Mnunuzi kama faida Mama ameirudisha kwa Mkulima na hii ndio maana halisi ya "Mama"

Uchaguzi 2025 Case closed.

View attachment 1941430
Jibu Mswali haya kwa Ukamilifu,

1.Rais Mnyenyekevu Africa -SAMIA

2.Rais mpole Africa -SAMIA. √

3. Rais mchamungu Africa -SAMIA √

4. Rais rafiki wa wananchi wake Africa -SAMIA √

5. Rais Chaguo la Watanzani 2025-2030 -SAMIA √
 
Tanzania yaongoza kwa bei ndogo ya mafuta ya taa, disel na Petrol Africa Mashariki Kenya bei juu |Hongera Rais Samia,
________________________________
Wakati baadhi ya Watanzani wasiofuatilia mambo wamekuwa wakiilalamikia Serikali ya awamu ya Sita inayoongoza na Rais Samia Suluhu Hassan kwamba imepandisha bei ya Mafuta ya taa, dizeli na Petroli jambo ambalo ni sawa na wao kukosa fadhili juu ya juhudi kubwa na nzuri anazozifanya rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan katika kuwaletea unafuu wa Maisha wananchi wake kwani Mama anajua nishati ya mafuta ndio karibu kila kitu kwa maisha ya mnyonge wa chini,

Wakati wenzetu wa Rwanda, Burundi, Congo, Uganda, Kenya wakiimezea mate bei ya mafuta ya Tanzania Sisi Watanzani tunashindwa kuthamini na kutambua mchango wa Rais wetu katika kudhibiti bei ya nishati ya Mafuta nchini,Hii si sawa kabisa,

Jarida maarufu Africa la "STAR " limeitaja Tanzania kuwa ni nchi ya chini kabisa kwa bei ya mafuta ya taa, dizeli na Petroli ukilinganisha na bei za nchi nyingine za EAC hivi majuzi,

Kwamsiofahamu,Bei ya Petroli Kenya ni Ksh 134.72 sawa na Tshs 2,831,Wakati Uganda ni Ksh 131 sawa na Tshs 2,751,Rwanda ni Ksh 121.08 sawa na Tshs 2,540, Wakati Tanzania bei ya Petroli ni Ksh 115.26 sawa na Tshs 2,421 kwenye Pump,

Wakati huohuo bei ya dizeli nchini Kenya ni Ksh 117.28 sawa Tshs 2,463,Uganda ni Ksh 115.60 sawa na Tshs 2,428 huku Rwanda bei ya dizeli ikifikia Ksh 110 karibu Sawa na Tshs 2.310 Wakati Tanzania bei ya dizeli imefikia Ksh 106.90 sawa na Tshs 2,245 tu,Tuendelee kumwombea rais wetu kipenzi cha wengi Mama Samia Suluhu Hassan,

______________________________

Kenyans are paying up to Sh19 more for a litre of petrol compared to their East African neighbours of Tanzania, Uganda and Rwanda as heavy taxation takes a toll on consumers.

Motorists and transporters are paying more than double what their counterparts in Addis Ababa are paying, where a litre of petrol and diesel are retailing at an equivalent of Sh51.28 and Sh44.66, respectively.

In Uganda, which imports part of its fuel through the Port of Mombasa, a litre of super petrol is retailing at Sh131 which is lower compared to Kenya's Sh134.72.

A litre of diesel in the neighbouring country is slightly higher, by Sh2, retailing at Sh117.28 compared to Sh115.60, despite the products going through Kenya into the landlocked country.

In Dar es Salaam, a litre of super petrol is retailing at Sh115.26, which is Sh19.46 less than that of Nairobi.

Diesel is going for Sh106.90 while kerosene is retailing at Sh103.34, compared to Nairobi's pump price of Sh110.82.

A litre of petrol and diesel in Kigali(Rwanda) is Sh121.08 and Sh110, respectively, despite being a land-locked country importing through Tanzania and Kenya.

On Tuesday, fuel prices in Kenya hit a historic high after prices of petrol, diesel and kerosene increasing by Sh7.58, Sh7.94 and Sh12.97, respectively.

“The prices are inclusive of the eight per cent Value Added Tax in line with the Finance Act 2018, the Tax Act 2018, the Tax Laws(Amendment) Act 2020 and the revised rates for excise duty adjustment for inflation,” EPRA director general Daniel Kiptoo said.

The increase came despite lower global crude prices in August which averaged $70.75 a barrel, down from $75.17 in July, and a drop in the landed cost of fuel at the Port of Mombasa.

Consumers in the country pay at least nine different taxes on fuel products which constitute the biggest share of final pump prices.

They include excise duty which takes the lion's share of Sh21.95 of every litre of petrol followed by the Road Maintenance Levy (Sh18).

VAT has been adjusted upwards to Sh9.98 while the Petroleum Development levy is charged at Sh5.40.

Other levies included in the fuel pricing are Petroleum Regulatory Levy, Railway Development Levy, Anti-adulteration Levy, Merchant Shipping Levy and the Import Declaration Fee.

The high fuel prices are expected to increase the cost of living in the country, where inflation has been rising since April, hitting an 18-month high of 6.57 in August.

Manufacturers and transporters have since warned of a jump in the cost of goods and services as they move to pass the high operational costs, occasioned by the fuel price jump, to the consumers.

Agricultural products are also expected to become costlier as diesel is a key input in production, mainly in large scale farming where machinery is used.

A number of other taxes introduced by the Finance Act 2021 are also expected to impact the cost of production in the country, affecting the prices of finished goods in the retail market.

The Consumers Federation of Kenya (COFEK) has since called on the President to request parliament to review the Finance Act.

“We need to ease the cost of living especially by dropping added taxes on cooking gas, fuel and essentials foodstuffs,” Secretary-General Stephen Mutoro said.
 
Mitego ya Rais Samia ya Royal Tour yanasa TZS 158.4bl | Hoteli nne kubwa za kitali hadhi ya Kempinski kujengwa Serengeti, Ngorongoro,Manyara & Tarangire,

________________________________

Wawekezaji toka Bulgaria matokeo ya Royal Tour kuwekeza US$ 72M karibu sawa na Tsha 158.4BL kwa kujenga Hotel nne kubwa za nyota tano ( Five Stars Hotel ) katika mbunga za Serengeti, Ngorongoro, Manyara & Tarangire,

Utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kipindi kifupi cha miezi sita umeonesha matokea makubwa katika kila kona ya nchi, madhalani uwekezaji tayari umekua kwa 400% toka uwekezaji wa US$ 510M hadi US$ 2.98BL sawa na Tshs 7trilioni pesa ambayo itamfikila kila Mtanzania popote alipo katika njia moja au nyingine,

#Mliokuwa mnalalamikia gharama ya Royal Tour mnasemaje kuhusu hizi bilioni 158.4 za fasta !??

.........Kazi iendelee.........

C&P
 
Tanzania ya Samia ni noma,

Umeme bei Chee EAC
Petrol bei Chee EAC
Disel bei Chee EAC
M|taa bei Chee EAC
Data (MB) bei Chee EAC
Maji bei Chee EAC
 
#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
NAPE NA NDUGU ZAKO MSIACHE KUMSHUKURU MUNGU KWAAJILI YA MAMA SAMIA | MBAAZI IMEPAA TOKA TZS 50 FY2017|2020-TZS 1,600 FY2021|22 KWA KILO,

Na. Emmanuel Allute Jr,
____________________________

Bei ya mbaazi Tanzania chini ya Rais Samia imeongezeka karibu ( X3200 ) kutoka Shilingi Hamsini za Kitanzania hadi kufikia Tshs 1,600 mwaka huu,Mtakumbuka ni trh 19|3|2021 ndio siku ambayo Mama Samia alikabidhiwa nchi hii kama Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa JMT wa awamu 6,huku bei ya mbaazi ikiwa ni chini ya Tshs 200|50.Kwalugha rahisi Fuso la Tani 7 lilijazwa mbaazi za watoto wa masikini kwa Tshs 350k Tu,Leo baada ya Rais Samia Fuso hilohilo linajazwa Mbaazi hizohizo kwa Tshs 11.2M,Mama Samia ameiongeza bei hii kwa zaidi ya 3,200%,Ukifungua hizo link utawasikia wakulima hao wakilalama,Mbaazi kutoka kuwa zao la Kibiashara hadi kuwa Chakula cha Ng'ombe na Nguruwe huku baadhi yao wakizisusa mbaazi hizo Shambani bila ya kuzivuna,Inaumiza,

Nape Nauye|Zitto Kabwe kwenye bunge la 10 ndio vijana miongoni Mwawabunge wachache waliopaza sauti zao juu ya mporomoko mkali wa bei ya mbaazi Tanzania,Wakati flani Nape akishauriwa na Naibu Waziri wa kilimo wa wakati huo kama soko hakuna ni bora kuwahimiza Wapigakura wake Wale Mbaazi kwa wingi kwakuwa mbaazi zina Protini nyingi, majibu yaliyoonesha kama ni kejeli mbele ya Mhe Nape Mbunge wa Mtama na kwawalima mbaazi wote nchini,Ujio wa Rais Samia umeshusha neema|faraja tena na tena kwa wakulima|Wasambazaji na Wauzaji wa Mbaazi wa nje na ndani ya Tanzania,Kwenye hili Rais Samia anastahili pongezi toka kwa Watanzania wote na hasahasa Wale walioambiwa Wale mbaazi ili wanenepe badala ya kupata Pesa ambayo leo Wanaifurahia,

Mtakumbuka,Mwaka wa fedha 2015/16 bei ya Tani ya Mbaazi ilikuwa US$ 715.11,Tanzania tulijipatia kiasi cha US$ 113,760 ikiwa ni sawa fedha ya kuuza Mbaazi nje jumla ya Tani 160 tu ,Dollar hizi ni sawa na Tshs 264M,Gafla Mauzo hayo yaliporomoka mpaka kufikia US$ 5,112 sawa na Tshs 11.3M Tu,FY2018|19|20 ambazo ni sawa na mauzo ya Tani 5 tu za Mbaazi,Mapato haya ni sawa na anguko la 95.7% nadhani hii haijawahi kutokea popote pale dunia wakati huu bei ikiwa ni US$ 0.023 kutoka US$ 1.14 FY 2015|16|17.Bila shaka haya ndio yaliwaliza wakati wote akina Nape pale Bungeni kwenye bunge la 10.Leo Mama amepandisha bei ya Mbaazi mpaka kufikia US$ 0.73 kutoka US$ 0.023 ikiwa ni sawa Tshs 1,600 kutoka Tshs 50/Lakini pia Kahawa imepaa kutoka 1,000 ya mkopo hadi kufikia Tshs 1,500/= Cash, Mwenye Masikio na asikie sasa,

...Kazi iendelee...

alluteemmanuel@gmail.com

#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI

Screenshot_20211003-093938.png
 
Huyu Mama kama mpaka pamba iliyomshinda Msukuma mwenzetu ameiweza basi hakuna wa kumtoa madarani,

Sisi alizeti imefikia elfu 12 toka buku 5,Mwanzoni mimi sikuwa namkubali ila kwa sasa nataka rasmi 2025 Samia anayo kura yangu,
Comment imenifariji sana hii kwa leo
 
BEI YA PAMBA JUU,TOKA TZS 810 FY2020|21 HADI TZS 1,800 FY2021|22,KILA KONA YA NCHI NI SAMIA, SAMIA, SAMIA
==================================
Bei ya Pamba Tanzania imepanda kutoka Tshs 810/kg FY 2020|21 mpaka Tshs 1,720-1,800/kg FY2021|22 kwa kilo,Hii ni sawa na ongezeko chanya la 125% liicha ya awali bei hiyo kuzinduliwa kuwa Tshs 1,050/kg FY2021/22,Kwalugha rahisi kama sio Mama Samia bei ya Pamba leo ingesalia kuwa ni Tshs 1,050/kg.

Ni dhahiri hapa Mama kapindua Meza,Kasi hii ya Rais Samia Watoto wa Mjini wanaiita "Utajua Hujui" kwa muda huu mfupi wa Mama Samia bei ya Mbaazi, Kawaha, Alizeti, Korosho,Chai zote ziko juu na malipo yote yanafanyika mkono kwa mkono tena by " Cash money" Huko nyuma hawa wakulima wa Pamba Pamoja na kupewa bei ndogo ya Pamba yao bado Watoto hawa wa Masikini waliuza Pamba yao kwa Mkopo,Yaani " Masikini anamkopesha Tajiri " ( this could only happen in Tanzania) huwezi kukuta utaratibu huu popote duniani ila sasa "Mama hataki dhuluma, tumwombee"

Turufu pekee ya kisiasa Kanda ya Ziwa ni "Bei ya Pamba" Tangu Miaka ya 2000 Chama cha UDP cha Mzee John Cheyo na baadae Chadema kwa agenda ya "Bei ya Pamba" kwa kutumia slogani yao ya " NO CASH NO COTTON " yaani "HUNA HELA HUNA PAMBA" wamekuwa wakiihenyesha CCM katika kila Uchaguzi kosa la CCM ikiwa ni kushindwa kudhibiti "Bei Ya Pamba " Mzee John Cheyo alifanikiwa kuitoa Pamba toka Tshs 300 hadi Tshs 800 baadae Rais Jakaya Mrisho Kikwete akaipaisha mpaka kufikia wastani wa Tshs 1,420 FY2005|06-2015|16.Baada ya hapo bei ya Pamba imekuwa ikishuka kutoka Tshs 1,420 ya JK, to1,000 then 1,100 kisha 810 FY2020/21,Hi ni sawa na kusema,tangu Uhuru bei ya Pamba haijawahi kufikia Tshs 1,720-1,800/kg ila ni kwa awamu hii ya Sita na Mhe Samia Suluhu ndio Rais,

Wakati Mzee Jakaya anaondoka madarakani 2014|15 bei ya kuuza pamba nje ilikuwa Tshs 2,165/kg au US$ 1,038/Tani huku Mkulima akiuza kwa Tshs 1,420/kg,Wanunuzi|Walanguzi wa Pamba walipata faida ya Tshs 735/kg ya Pamba walioinunua,Lakini FY 2017|18 bei ya kuuza Pamba nje ilifikia US$ 1,371/Tani au Tshs 3,099,629/tani sawa na Tshs 3,010/kg huku Mkulima huyuhuyu akiuza Pamba kwa Tshs 1,100/kg, yaani katika kila "Kilo moja" ya Pamba walanguzi|Wanunuzi walipata faida ya Tshs 2,000/kg ya Pamba watakayouza nje.

Hii ni sawa na kusema Mnunuzi|Mlanguzi wa pamba FY2014|15 alipata faida ya Tshs 735/Kg kwa kununua Pamba kwa Tshs 1,420/kg toka kwa mkulima,Na Mnunuzi huyo wa Pamba FY 2017|18 alipata faida ya Tshs 2,000/kg tena kwa Pamba aliyoichukua kwa mkopo kwa bei ya Tshs 1,100/kg baada ya kuiza nje kwa Tshs 3,010/kg.Leo Mama Samia ameamua kupunguza faida ya Wanunuzi|Walanguzi wa Pamba ili kumtetea huyu Mlalahoi kwa Vitendo kwa kumwongezea Tshs 700/kg ya Pamba atakayouza iliyokuwa iende kwa Mnunuzi kama faida Mama ameirudisha kwa Mkulima na hii ndio maana halisi ya "Mama"

Uchaguzi 2025 Case closed.

VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA

View attachment 1941430
Unajua Rais Samia amejenga madarasa elfu 18?

Endelea kumwombea
 
Mwaka 1998 kuna watu walijiua huko usukumani baada ya bei ya Pamba kuporomoka ghafla kwa mara ya kwanza katika Historia ya zao hilo hapa nchini. Tangu tupate Uhuru, bei ya pamba ilikuwa inapanda kila mwaka, isipokuwa mwaka 1998 tu ambapo bei ya mwaka huo ilikuwa chini ya ile ya mwaka uliokuwa umepita, yaani bei ya mwaka 1997 ilikuwa juu kuliko ile ya mwaka 1998. Hapa ilikuwa ni miaka miwili na ushee tu tangu Rais Mwinyi aondoke madarakani; na ndiyo sasa tulikuwa tunaelekea kwenye kile kipindi cha ubinafsishaji, tukawa tumeanza kidogo kidgo na ubinafsishaji wa bei ya Pamba kwanza. Anyway, sijui labda bei hiyo ilitokana na Market Forces kwenye soko la dunia, ila nina shaka. Kwa nini iwe mwaka huo tu?
Bei ya pamba singekumbana na kizingiti mwaka huo, possibly kwa sasa ingekuwa ni nzuri zaidi tofauti kabisa na hii tunayoifagilia hapa sasa hivi.
Wakulima wa Pamba inabidi tumshukuru sana Mama kwa hatua hii kubwa
 
BEI YA PAMBA JUU,TOKA TZS 810 FY2020|21 HADI TZS 1,800 FY2021|22,KILA KONA YA NCHI NI SAMIA, SAMIA, SAMIA
==================================
Bei ya Pamba Tanzania imepanda kutoka Tshs 810/kg FY 2020|21 mpaka Tshs 1,720-1,800/kg FY2021|22 kwa kilo,Hii ni sawa na ongezeko chanya la 125% liicha ya awali bei hiyo kuzinduliwa kuwa Tshs 1,050/kg FY2021/22,Kwalugha rahisi kama sio Mama Samia bei ya Pamba leo ingesalia kuwa ni Tshs 1,050/kg.

Ni dhahiri hapa Mama kapindua Meza,Kasi hii ya Rais Samia Watoto wa Mjini wanaiita "Utajua Hujui" kwa muda huu mfupi wa Mama Samia bei ya Mbaazi, Kawaha, Alizeti, Korosho,Chai zote ziko juu na malipo yote yanafanyika mkono kwa mkono tena by " Cash money" Huko nyuma hawa wakulima wa Pamba Pamoja na kupewa bei ndogo ya Pamba yao bado Watoto hawa wa Masikini waliuza Pamba yao kwa Mkopo,Yaani " Masikini anamkopesha Tajiri " ( this could only happen in Tanzania) huwezi kukuta utaratibu huu popote duniani ila sasa "Mama hataki dhuluma, tumwombee"

Turufu pekee ya kisiasa Kanda ya Ziwa ni "Bei ya Pamba" Tangu Miaka ya 2000 Chama cha UDP cha Mzee John Cheyo na baadae Chadema kwa agenda ya "Bei ya Pamba" kwa kutumia slogani yao ya " NO CASH NO COTTON " yaani "HUNA HELA HUNA PAMBA" wamekuwa wakiihenyesha CCM katika kila Uchaguzi kosa la CCM ikiwa ni kushindwa kudhibiti "Bei Ya Pamba " Mzee John Cheyo alifanikiwa kuitoa Pamba toka Tshs 300 hadi Tshs 800 baadae Rais Jakaya Mrisho Kikwete akaipaisha mpaka kufikia wastani wa Tshs 1,420 FY2005|06-2015|16.Baada ya hapo bei ya Pamba imekuwa ikishuka kutoka Tshs 1,420 ya JK, to1,000 then 1,100 kisha 810 FY2020/21,Hi ni sawa na kusema,tangu Uhuru bei ya Pamba haijawahi kufikia Tshs 1,720-1,800/kg ila ni kwa awamu hii ya Sita na Mhe Samia Suluhu ndio Rais,

Wakati Mzee Jakaya anaondoka madarakani 2014|15 bei ya kuuza pamba nje ilikuwa Tshs 2,165/kg au US$ 1,038/Tani huku Mkulima akiuza kwa Tshs 1,420/kg,Wanunuzi|Walanguzi wa Pamba walipata faida ya Tshs 735/kg ya Pamba walioinunua,Lakini FY 2017|18 bei ya kuuza Pamba nje ilifikia US$ 1,371/Tani au Tshs 3,099,629/tani sawa na Tshs 3,010/kg huku Mkulima huyuhuyu akiuza Pamba kwa Tshs 1,100/kg, yaani katika kila "Kilo moja" ya Pamba walanguzi|Wanunuzi walipata faida ya Tshs 2,000/kg ya Pamba watakayouza nje.

Hii ni sawa na kusema Mnunuzi|Mlanguzi wa pamba FY2014|15 alipata faida ya Tshs 735/Kg kwa kununua Pamba kwa Tshs 1,420/kg toka kwa mkulima,Na Mnunuzi huyo wa Pamba FY 2017|18 alipata faida ya Tshs 2,000/kg tena kwa Pamba aliyoichukua kwa mkopo kwa bei ya Tshs 1,100/kg baada ya kuiza nje kwa Tshs 3,010/kg.Leo Mama Samia ameamua kupunguza faida ya Wanunuzi|Walanguzi wa Pamba ili kumtetea huyu Mlalahoi kwa Vitendo kwa kumwongezea Tshs 700/kg ya Pamba atakayouza iliyokuwa iende kwa Mnunuzi kama faida Mama ameirudisha kwa Mkulima na hii ndio maana halisi ya "Mama"

Uchaguzi 2025 Case closed.

VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA

View attachment 1941430

Rais Samia atoa wastani wa madarasa manne na madawati 120 katika kila shule ya Sekondari ya Serikali nchi nzima | Hakika awamu ya Sita Tanzania lazima iwe Tanzania.​

" Hakuna kama Samaia "​

Baada ya janga la Covid-19 kuvuruga Uchumi wa dunia na sisi tukiwemo, Shirika la fedha duniani ( IMF) pamoja na benki ya dunia ( WB) wameanza kuzisaidia nchi mbalimbali duniani ikiwemo Tanzania mikopo yenye masharti nafuu ili pesa hizo zitumike kama Economic Stimulus & Relief Fund na hapa muelewe vizuri Tanzania tunapokea mikopo na misaada ila "HATUITEGEMEI " ndio maana hata kwenye bajeti yetu hii ya FY2021|22 katia ya Tshs 36.33trl zilizotengwa pesa zetu ni 91.9% huku misaada na mikopo ikiwa ni 8.1% tu,

IMF tayari imeisaidia Tanzania mkopo wenye masharti nafuu kiasi cha Tshs 1.3trl kwaajili ya kusisimua Uchumi wake uliodorora kwasababu ya covod-19 kwani niukweli usiopingika Tanzania tumeumizwa zaidi kwenye Sekta za Utalii,biashara na Usafirishaji,

Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutumia pesa hizo na baada ya kutoa madarasa ya kisasa elfu 15 sawa na wastani wa madarasa manne kwenye kila shule ya Sekondari ya Serikali nchi nzima huku kipaumbele kikiwa ni shule zenye upungufu wa madarasa lakini furaha iliyoje Rais wetu ametoa tena jumla ya madawati 462,795 ambayo ni sawa na Wastani wa madawati 120 kwenye kila Shule ya Sekondari nchi nzima ambazo jumla ya shule hizo ni 3,863.

Sababu za Rais Samia Suluhu Hassan kutoa madarasa mapya manne ya kisasa na madawati mapya 120 katika kila shule ya Sekondari ya Serikali nchi nzima ni kuhakikisha wazazi wa watoto watakaojiunga na kidato cha kwanza mwakani katika mwaka wa masomo 2021|2025 hawalipi hata Shilingia mia moja kwani Rais wetu mnyenyekevu ameshalipa pia ada za watoto wote 1M wanaotakiwa kuanza shule siku moja nchi nzima yaani trh 06|01|2022,hii haijawahi kutokea katika historia ya nchi yetu,

VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA

View attachment 1971181

Anawezaje haya yote huyu mama?

SGR TZS 10.2T ni Yeye,
SG TZS 6.55T ni Yeye
Madarasa mapya manne kila sekondari nchi nzima,
Madawati 120 kila sekondari nchi nzima
 
Back
Top Bottom