Bei ya Nyama imefikia Kilo tsh ngapi huko kwenu?

Bagamoyo kuna supu ya buku.sijui nyama wanatoa wapi wale.tena ya ukweli.ukienda sehemu nyingine utauziwa buku 3.hapo ndo nimekuta supu ya titi la ng'ombe
 
Back
Top Bottom