Bei ya Mbaazi kwa KG ni Shilingi ngapi mwaka huu?

Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
3,240
5,441
Huku mkoa wa Lindi na Mtwara tunatarajia kuvuna mbaazi nyingi sana, je kuna mtu anajua bei ya Mbaazi kwa mwakahuu? Au matarajio ya soko litakuwa vipi? Mwaka jana najua soko liliyumba kidongo lakini kwa mwaka huu sijajua uzoefu utakuwaje.
 
IMG_20170621_075425_507.jpg
 
Huku kwetu havinaga soko kabisa na hatulagi,,,ulizie dar kwenye shida huko ya vyakula
Mbaazi si kwaajili ya mboga tu. Mbaazi ni km unavyoona korosho, mihogo, Nazi na karanga. Wewe unadhani vile zinalimwaga nyingi na wahindi wana nunua na kusafiRisha unadhani ni kwaajili ya kula tu.? Hizo upelekwa viwandani na kuzalisha bidhaa zengine.
 
Mwaka jana bei ilizingua wengi sana mwaka huu wakaacha kulima!! Hongereni kwa mazao mengi.....subiri wachuuzi waje huko! Bei Inakuwaga nzuri sana endapo mavuno yakiyumba india.....basi nguvu inakuja huku africa!! Tusubiri tutajua
 
Mwaka huu natabili bei inaweza kuwa kati ya 800 hadi 400 kwa kila kilo moja ya mbaazi safi. Hapo ndio mararajio yangu mkuu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom