Bei ya mafuta yashuka kwa takriban asilimia 30 baada ya makubaliano katika mkutano wa OPEC kushindikana

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,495
9,275
Bei ya mafuta imeshuka kwa asilimia 30, kiwango hicho ni kikubwa tangu mwaka 1991 wakati wa Vita vya Ghuba, baada ya Saudi Arabia kuamua kushusha bei.

Hatua hiyo inaonekana kama kujibu hatua ya Urusi kukataa kupunguza uuzaji wa petroli.

Wakati wa mkutano nchi zinazosafirisha mafuta kwa wingi duniani, OPEC, wiki iliyopita, Urusi ilisema haitoungana na wanachama wa OPEC katika juhudi za kuleta utulivu wa soko kwa kupunguza uuzaji wa mafuta.

Mkutano wa OPEC ambao umeijumuisha Urusi, ulipaswa kukubaliana kupunguza uuzaji wa mafuta wa mapipa milioni 1.5 kwa siku, ingawa Urusi ilikataa pendekezo hilo ambalo baadhi wamelielezea kama vita ya kibiashara.

Mpango wa sasa wa uuzaji mafuta kati ya OPEC na Urusi unamalizika mwezi Machi. Saudi Arabia inapanga kupunguza bei yake rasmi ya kuuza mafuta mwezi Aprili kutoka Dola 6 hadi Dola 8.


==============

Crude prices suffered their biggest daily decline since the Gulf War in 1991, with major producers Saudi Arabia and Russia launching a price war threatening to flood the global oil markets with supply.

A nearly 25 percent drop in oil prices sparked panic-led sales and sharp losses of major US equity indices, as fears of a global recession deepened amid the rapid spread of the Corona virus.

Both Saudi Arabia and Russia said they would increase production early next week, after a three-year agreement between them and other major oil producers collapsed on Friday to curb supply.

Moscow has refused to support the Organization of Petroleum Exporting Countries in deepening oil production cuts to cope with the significant decline in demand caused by the impact of the Coruna virus on travel and economic activity.

Brent crude futures fell $ 10.91, or 24.1 percent, to settle the settlement price at $ 34.36 a barrel. The contract fell as much as 31 percent earlier in the day to $ 31.02, its lowest since February 12, 2016.

And US West Texas Intermediate crude fell $ 10.15, or 24.6 percent, to close at $ 31.13 a barrel. Crude earlier fell 33 percent to $ 27.34, the lowest level since February 12, 2016.

Today saw the biggest single-session decline in the percentage of both benchmarks since January 17, 1991, when prices fell by a third at the start of the Gulf War.

Volumes for the nearest month in both decades were at record highs.

Sharp losses included the name of the energy companies, while shale oil producers began cutting spending in anticipation of falling revenues. Exxon Mobil and Chevron shares fell ten percent and about 13 percent, respectively.

“Over the weekend, every company has revised their numbers and shale oil, which will mainly go into a survival mode in terms of capital spending and activity,” said Dan Yergen, vice president of IHS Market.
 
Na Russia kasema hatishiki...yuko tayari kuuza barrel moja kwa $25 kwa muda wa miaka 6 mpaka 10.
 
SUBIRA YAVUTA KHERI, WACHA TUSUBIRI TUONE TUTAUZIWA KWA SH NGAP LITABYA PETROL. LAKN PIA GAS MBONA HAIONGELEWI? MAANA VYOTE VIWILI VINAVUNWA PAMOJA. OVER
 
Prices in Tanzania won't fall by more than 10% any time soon. Most importers are in the business of hedging to cushions themselves against massive swings in the price of oil.​
 
Back
Top Bottom