Vito Ferari
JF-Expert Member
- Mar 31, 2022
- 290
- 412
Gesi nayo imepanda bei!Ifikie wakati mjifunze kuwa Tesla anaweza kuwa mkomboziš kwa maisha ya sasa na yajayo! Kama hutaki wahi NIT mabibo ukafunge mtungi wa Oryx kwenye buti
Gesi nayo imepanda bei!Ifikie wakati mjifunze kuwa Tesla anaweza kuwa mkomboziš kwa maisha ya sasa na yajayo! Kama hutaki wahi NIT mabibo ukafunge mtungi wa Oryx kwenye buti
Ni hatari kwa uchumi wa mtu mmoja mmoja mkuu!!Nilipo bei ya Lita ni 3,021/=
Nipe pesa nikuachie mkuu, nirudi kwenye baiskeli.Wakati wa kumilik gari ulikua bado
Hapa passo inaenda kuwa gari ya kigentle na TZ vitu vikipanda bei hata supply ikirudi normal vyenyewr vinapungua kidogo tuBei ya mafuta imepaaa hadi 2900+ kwa mikoani sasa tutegemeee Passo na babywalker zingine kupanda bei maradufu
Hi logic ya kutangaza Bei ya mafuta kila mwisho wa mwezi siyo mantiki yake mnk mtu anaweza kuadimisha stock ili asubiri Bei mpya Sasa ona jan mafuta 2540 leo asb 2900 mbn tunawafadisha wafanyabiasharaMafuta yapo ila inasubiriwa saa 6 usiku ili stock iliopo iuzwe kwa faida madhubuti kabisa
Bora hata Tzn hii,Nchi za jirani ukiacha Zambia mafuta bei iko kwenye 4,000Wakati Serikali ikitangaza kurejesha Sh100 katika mafuta, watumiaji wa nishati hiyo watalazimika kufunga mkanda kutokana na bei kuendelea kupaa...
Kwani mafuta yanayoingia TZ yanatoka russia UkraineAngezuia vita ya Ukraine? Unatumia masaburi kufikiri
Pumbavu kabisaKwa bei hii petrol 3,022 kwa lita 1 natembea na panga chin ya seat ukiniomba lift nakupakia naenda kukupiga mabapa mbele ya safari maana huna akili
Akipiga 400 zake hizo kwa litre 100,000,000 kwenye sheli zake zote ni unyama tuuHi logic ya kutangaza Bei ya mafuta kila mwisho wa mwezi siyo mantiki yake mnk mtu anaweza kuadimisha stock ili asubiri Bei mpya Sasa ona jan mafuta 2540 leo asb 2900 mbn tunawafadisha wafanyabiashara
Wp huko kuna kazi nije nujipatie ajira fastaKazi ipo