Bei ya mafuta yaanza kupanda mdogo mdogo

Lyamber

JF-Expert Member
Jul 24, 2012
11,716
18,813
Screen Shot 2016-05-09 at 1.33.19 PM.png
Screen Shot 2016-05-09 at 1.32.33 PM.png
Bei ya mafuta ya dizeli ukilinganisha na ya mwezi wa 3..2016 imeanza kupanda kidogo kidogo taratiibu tutarudi kule kule kwenye 2000 kwa lita...linganisha kwenye hizo hapo data
 
Nashukuru mabasi ya DART yameanza kutoa Huduma maana sasa nitapaki gari yangu
 
Duh tukirudi kule itakuwa hatariii maana wazee wa vidumu maeneo yasio na vituo vya mafuta lita huwa hadi 2700
 
Hata petrol nimenotice jna mwanza. Last month nlinunua 1870 jana 1934
 
Back
Top Bottom