Bei ya Mafuta ya petrol/diesel vipi?

Saharavoice

JF-Expert Member
Aug 30, 2007
3,879
2,369
Leo ni tarehe moja ambayo serikali iliahidi mafuta yatashuka bei, asubuhi nimepitia petrol station moja, nikaona bei ni ile ile (juu) vipi wadau huko mnakopita bei zimeshuka? au ndo usanii unaendelea?
 
Bado wanajipanga haikuwa kwenye plan yao ila wamelazimishwa na hali halisi.
 
miaka miwili mitatu iliyopita walitoa VAT kwenye bei za mafuta. hakukuwa na badiliko lolote kwenye bei ya kwenye pump. sitegemei kuwa na badiliko lolote la maana kwa bei. kumbuka pia shilingi yetu inashuka thamani kila kukicha na mafuta yanaagizwa kwa dola. soon tutasikia kodi zimeshuka ila sh imeshuka thamani na bei za mafuta zinapanda! hii ndo Bongo! Badala ya kusubiria mafuta yashuke, piga bongo jinsi ya ku-survive na ku-prosper ktk hali hii hii. ukitegemea vinginevyo, mdau imekula kwako!
 
Back
Top Bottom