Bei ya mafuta ya mawese kwa dumu LA ltr 20

kupigakazi

Member
Sep 17, 2014
53
10
Jameni wandugu naomba kufahamishwa bei ya mafuta ya mawese dumu LA ltr 20 kutoka mkoan mbeya pale sokomotola au mwanjelwa Sido kwa anaye fahamu tafadhari
 
Jameni wandugu naomba kufahamishwa bei ya mafuta ya mawese dumu LA ltr 20 kutoka mkoan mbeya pale sokomotola au mwanjelwa Sido kwa anaye fahamu tafadhari
Mbosa au mawese yenyewe...
Mbosa dumu 48,000 nilinunua bei hiyo December Kwa sasa sijajua.

Kama unataka mengi nenda kyela!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom