Bei ya mafuta ni shs 3000 korogwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bei ya mafuta ni shs 3000 korogwe

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BLUE BALAA, Aug 8, 2011.

 1. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #1
  Aug 8, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 898
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Jana tulikuwa tunatoka Dar kuja Arusha, tuliwasili Korogwe mida ya saa 10 jioni. Tuliingia vituo zaidi ya vitano kwa ajili ya kujaza mafuta ili tuendelee na safaari. Kila kituo walisema hawana mafuta. Tulijaribu kupiga sehemu miji ya karibu lakini hatukufanikiwa. Ilipofika saa nne usiku tukaambiwa twende kwenye kituo fulani ila mafuta ni shs 3000 kwa lita. Ilibidi tununue ili tuendelee na safari.

  Ushauri - Serikali irudishe bei ya mafuta kama ilivyokuwa ili kuepuka kutengeneza scarcity ambayo inaongeza bei.
   
 2. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #2
  Aug 8, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,284
  Likes Received: 1,644
  Trophy Points: 280
  Tafakari kabla hujatoa ushauri wewe!!!
  Kazi ya serikali ni ipi, kama amri zake wafanyabiashara hawazitekelezi?
  wewe sema tanzania hakuna serikali hapo nitakuelewa,sio wananchi wateseke kwa bei.Majibu yako ni mepesi kama ya JK!!!
   
 3. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #3
  Aug 8, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,800
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Hii ishu ya mafuta naimani kbs ni kitengo kingine cha ulaji wa ccm lita 1 ya mafuta inatozwa kodi kibao (ulaji wa ccm" mwisho wa siku wanaoumia ni wananch wa kawaida
   
 4. m

  mkolosai JF-Expert Member

  #4
  Aug 8, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 740
  Likes Received: 246
  Trophy Points: 60
  Hatuna serikali, idd amin, samuel dore,mugabe, adolf hitler, musolin to mention few walikuwa na idea flan. Siyo hawa ma dr. feki wa kujichekesha. Military command is needed to make thngs clere.
   
 5. Silly

  Silly JF-Expert Member

  #5
  Aug 8, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 480
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  upupu - coloured
   
Loading...