Bei ya mafuta mafuta kasulu!!!

Mu-sir

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
3,621
1,629
Kama kawaida yangu leo nimeendelea na mihangaiko yangu ya kila siku lakini ilipofika jioni nikapata taarifa ya uhakika kwamba bei ya petrol kasulu sasa ni shilingi 6000 kwa lita lakini ya diesel bado iko chini kidogo. Swali kwa wadau hii inasababishwa na nini? Mbona juzi juzi mamlaka husika zimekanusha juu ya tetesi za uhaba wa mafuta? Nawasilisha hoja.
 
mmmmmh????

Huko mbali mkuu ni vigumu kuamini otherwise piga picha "kibao" chenye costs then tuwekee hapa!

Mwanza leo ilikua 1810/=
 
Back
Top Bottom