mxyo16
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 1,243
- 758
Galoni moja kimarekani ni US $ 0.47, hilo galoni kwetu sisi ni sawa na lita 3.84. Dola 1 leo ni shilingi 2,184,
cents 0.47 X 2,184 = 1,026.48, uigawe kwa lita 3.84
itakua lita moja ni bei Tsh. 267.31!!!!!
***Bei ya mafuta ilikua chini kwa muda mrefu, kuondolewa vikwazo vya kiuchumi kwa Iran yasemekana mafuta yataongezeka sokoni kutoka Iran....hivyo bei inazidi kuporomoka......
Wakubwa japo mtupunguzie hadi 1,200...bado mchango wetu kitaifa utakuwa mkubwa nasi garama katika vijipato vyetu vya kuungaunga ipungue.....