Bei ya kiwanja Mbezi, Bunju au Kigamboni unapata nyumba Chanika au Mbagala

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,646
35,979
Hivi ukijenga Mbezi, Kigamboni au Huko Bunju ndani unapata huduma za jamii bure?

Mbona watu wanauziwa ardhi kwa bei kubwa sana?

Pesa ya Kiwanja tu unapata Nyumba nzuri tu Mbagala, Chanika na viunga vyake. Mimi nilinunua kiwanja 400 square miter chanika kwa 1 M. Tu tena kimepimwa. Nilinunua Pugu kilichopimwa pia kwa 3m tu 625 square metre.

Mimi sifanyi ujinga wa kununua kiwanja milioni 10 au ishirini kisa tu kiko Mbezi tena hiyo Mbezi unapelekwa huko ndani ndani.
 
Kwanza ukajifunze maana ya LOW DENSITY kiwanja cha square meter 1500 kuendelea
na viawanja vya HIGH DENSITY changanyikeni square meter 400 hata parking hakuna ni baiskeli tu zinapita, wenyeji mnashida kwenye madirisha ya wenzetu km vibaraza, mkisilikiza wanachoongea wakilala, miundo mbinu hakuna, majisafi kwa majitaka hakuna mnasubiri mafuriko ya mvua
acha wenye pesa waiiwekee mafence / maukuta ya kozi 12 na alarm mlinzi na magari hao ndio wenye pesa (niseme ndio wenye akili wajipumzishe
 
Mambo mengine umezidisha. 400 square nimejenga nyumba ya chumba 2 moja ikiwa Master na sebure huku pembeni nimejenga chumba mbili na nafasi ya parking gari moja imebaki.
 
karo hapo huna ila choo cha shimo, masika yasipokuja na mafuriko mtaa mzima harufu
kama huna uwezo hata wa kupanga nyumba bora basi
ila p/se usijenge nyumba eti na wewe umeshika ardhi 400sq/m kweli?
 
Kwani kwa mujibu wa wizara ya ardhi, ardhi inayofaa kujengwa Nyumba inapaswa kuwa na ukubwa gani?
Usijifanye mjuaji kuliko serikali
 
serikali haikatazi kujenga nyumba katika squatters
jenga popote utakapopata ardhi hata nyuma ya choo cha jirani hulazimishwi kuwa na Hati, ikiboboka hama. kila Miji na Majiji kuna nyumba za namna hiyo na sijakataa ninaishi na nimekulia Manzese Tandale, lkn usijenge kwenye 400sq/m
A squatter is a person who settles in or occupies a piece of property with no legal claim to the property. A squatter lives on a property to which they have no title, right, or lease. [/QUOTE]
 
Kwanza ukajifunze maana ya LOW DENSITY kiwanja cha square meter 1500 kuendelea
na viawanja vya HIGH DENSITY changanyikeni square meter 400 hata parking hakuna ni baiskeli tu zinapita, wenyeji mnashida kwenye madirisha ya wenzetu km vibaraza, mkisilikiza wanachoongea wakilala, miundo mbinu hakuna, majisafi kwa majitaka hakuna mnasubiri mafuriko ya mvua
acha wenye pesa waiiwekee mafence / maukuta ya kozi 12 na alarm mlinzi na magari hao ndio wenye pesa (niseme ndio wenye akili wajipumzishe
Vibaya hivyo mwakwetu.
Tupo wa passport size, na kura yetu ni ile ile moja.
 
Hivi ukijenga Mbezi, Kigamboni au Huko Bunju ndani unapata huduma za jamii bure?

Mbona watu wanauziwa ardhi kwa bei kubwa sana?

Pesa ya Kiwanja tu unapata Nyumba nzuri tu Mbagala, Chanika na viunga vyake. Mimi nilinunua kiwanja 400 square miter chanika kwa 1 M. Tu tena kimepimwa. Nilinunua Pugu kilichopimwa pia kwa 3m tu 625 square metre.

Mimi sifanyi ujinga wa kununua kiwanja milioni 10 au hishirini kisa tu kiko Mbezi tena hiyo Mbezi unapelekwa huko ndani ndani.
Sio kweli.. Nyumba ninayojenga Chanika (residential house) hata Masaki haipo...
 
Vibaya hivyo mwakwetu.
Tupo wa passport size, na kura yetu ni ile ile moja.
NA KABURI NI LILE ILE
Usukumani sina uhakika wanajenga vyoo vya western type vya kukaa katika vyumba vyao
hata hivi vya kuchuchumaa
sanasana ni nje kwenye mihogo
lkn km ulivyosema tukifa kaburi ni udongo hata km una kinjinjio cha kupiga kura
 
Ni kweli kabisa.
Blionea Turk jana kazikwa kakaburi kadogo kasiko lingana na ubilionea wake.
Kweli demokrasia ya Mungu haina makosa!
 
Hivi ukijenga Mbezi, Kigamboni au Huko Bunju ndani unapata huduma za jamii bure?

Mbona watu wanauziwa ardhi kwa bei kubwa sana?

Pesa ya Kiwanja tu unapata Nyumba nzuri tu Mbagala, Chanika na viunga vyake. Mimi nilinunua kiwanja 400 square miter chanika kwa 1 M. Tu tena kimepimwa. Nilinunua Pugu kilichopimwa pia kwa 3m tu 625 square metre.

Mimi sifanyi ujinga wa kununua kiwanja milioni 10 au ishirini kisa tu kiko Mbezi tena hiyo Mbezi unapelekwa huko ndani ndani.
Naona ni chaguo la mtu na kwa wakt huo anaweza fanikisha eneo gani, maana ukisema chanika toka nasoma mpaka sasa hv viwanja huwa ni 1M to 1.5M kwa hizo 400, unaona ni sehemu haikua na ni mbali na mjini city centre, nahisi pia watu hawavutuwi..na usafri wa kurudi mikoani ni mgumu tofauti na main road hata ya kusini, au kaskazini....
 
Back
Top Bottom