Kiboko ya Jiwe
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 12,697
- 36,094
Hivi ukijenga Mbezi, Kigamboni au Huko Bunju ndani unapata huduma za jamii bure?
Mbona watu wanauziwa ardhi kwa bei kubwa sana?
Pesa ya Kiwanja tu unapata Nyumba nzuri tu Mbagala, Chanika na viunga vyake. Mimi nilinunua kiwanja 400 square miter chanika kwa 1 M. Tu tena kimepimwa. Nilinunua Pugu kilichopimwa pia kwa 3m tu 625 square metre.
Mimi sifanyi ujinga wa kununua kiwanja milioni 10 au ishirini kisa tu kiko Mbezi tena hiyo Mbezi unapelekwa huko ndani ndani.