Bei ya Godoro la Tanfom Arusha na QFL Dodoma

Niliifanya hii biashara miaka 2012 lakini kwa sasa nipo kwa uncle magu

Dodoma ni godoro zuri sana kuhakisha kama ndio lenyew utakuta kwa ndani limepigwa chapa ya QFL

Sina uzoefu na tanform na pia inategemea ww unaishi mkoa gan?

Arusha,moshi hamnaga magodoro Dodoma

Ni vizuru ukaspecify pia kuwa upo mkoa gan
 
Njoo nikuuzie 240K bei ya jf
IMG_20190709_170920_7.jpeg
 
Yanavutia kwa nje tu, ukilalia miezi 2 utatakuwa mmiliki wa mtumbwi. Gidoro ni qfl na comfy tu. Bei kila mkoa/ wilaya na bei yake
Hii mkuu sikubaliani na wewe, mimi ninalo nchi 10 nilinunua kwenye duka lao mpaka leo lipo fresh na umeshapita mwaka mmoja sasa.
 
Niliifanya hii biashara miaka 2012 lakini kwa sasa nipo kwa uncle magu

Dodoma ni godoro zuri sana kuhakisha kama ndio lenyew utakuta kwa ndani limepigwa chapa ya QFL

Sina uzoefu na tanform na pia inategemea ww unaishi mkoa gan?

Arusha,moshi hamnaga magodoro Dodoma

Ni vizuru ukaspecify pia kuwa upo mkoa gan
Nipo Mwanza jombaa
 
Fake tumeuziwa vya kutosha.
Hapa ndo kampuni zinafeli, au wafanyakazi wao wanahujumu, kampuni inatakiwa ipambane ili kulinda brand, lazma wananchi wajulishwe kuhusu ubora wa bidhaa, Na sio kukaa kimya , na kutoa mianya ya bidhaa fake mtaani, nimetembelea website ya tanfomu ipo dormant na more complicated, hawaoni jins samsung anavyofight kulinda brand dhidi ya bidhaa fake, tena worldwide...
 
Godoro ni tanfomu, sema kujua fake na og ndo miyeyusho, uanaweza uziwa fake kwa bei ya og,
Usiamini tanfom tu mm nimenunua Godora lina miaka 9 sasa iv hakuna cha mtumbwi wala nn ,cha muhimu nenda kwa wale madealer wa viwandan hawauzi fake
 
Hii mkuu sikubaliani na wewe, mimi ninalo nchi 10 nilinunua kwenye duka lao mpaka leo lipo fresh na umeshapita mwaka mmoja sasa.
sasa mwaka mmoja alifu,subiri hata miaka mitatu hivi angalau.

kuna yale ya spring,ingawa yanafaa uwe kwako rasmi,maana ni hatari.
 
Nunua MALAIKA mm nimetumia malaika kuanzia form one mpaka six na mpaka leo bado ninalo nililinunua mwaka 2002 kwa elfu 22000 tu
 
Nenda kiwandani pale ungalimited utapata bajaji ya kubebea au wanastoo zao pale ukimaliza kiwanda cha unga cha monaban
 
Kama una matatizo ya mgongo, nunua godoro la spring la tanfoam hutojutia. Bei ya mwaka juzi ilikua Tsh 550,000/- Size 5x6. La ukweli sana hutojutia.
 
Back
Top Bottom