2nzi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 246
- 207
Yanapatikana wapi ya mtumbaYapo ya mtumba kutoka majuu nayo mazuri...
Yanapatikana wapi ya mtumbaYapo ya mtumba kutoka majuu nayo mazuri...
Ni sh ngapi hayo GSM? Na hayaumizi mgongo?Jaribu pia kutazama na magodoro ya GSM yapo vizuri, sasa sijui yanatengenezwa na moja ya hizo kampuni ulizozitaja au vipi.
KwatumboYanapatikana wapi ya mtumba
Acha utani basiKwatumbo
Fake tumeuziwa vya kutosha.Godoro ni tanfomu, sema kujua fake na og ndo miyeyusho, uanaweza uziwa fake kwa bei ya og,
Yanavutia kwa nje tu, ukilalia miezi 2 utatakuwa mmiliki wa mtumbwi. Gidoro ni qfl na comfy tu. Bei kila mkoa/ wilaya na bei yakeNi sh ngapi hayo GSM? Na hayaumizi mgongo?
Hii mkuu sikubaliani na wewe, mimi ninalo nchi 10 nilinunua kwenye duka lao mpaka leo lipo fresh na umeshapita mwaka mmoja sasa.Yanavutia kwa nje tu, ukilalia miezi 2 utatakuwa mmiliki wa mtumbwi. Gidoro ni qfl na comfy tu. Bei kila mkoa/ wilaya na bei yake
Hayaumizi, ina tegemea wewe mwenyewe unataka nchi ngapi.Ni sh ngapi hayo GSM? Na hayaumizi mgongo?
Nipo Mwanza jombaaNiliifanya hii biashara miaka 2012 lakini kwa sasa nipo kwa uncle magu
Dodoma ni godoro zuri sana kuhakisha kama ndio lenyew utakuta kwa ndani limepigwa chapa ya QFL
Sina uzoefu na tanform na pia inategemea ww unaishi mkoa gan?
Arusha,moshi hamnaga magodoro Dodoma
Ni vizuru ukaspecify pia kuwa upo mkoa gan
Hapa ndo kampuni zinafeli, au wafanyakazi wao wanahujumu, kampuni inatakiwa ipambane ili kulinda brand, lazma wananchi wajulishwe kuhusu ubora wa bidhaa, Na sio kukaa kimya , na kutoa mianya ya bidhaa fake mtaani, nimetembelea website ya tanfomu ipo dormant na more complicated, hawaoni jins samsung anavyofight kulinda brand dhidi ya bidhaa fake, tena worldwide...Fake tumeuziwa vya kutosha.
Usiamini tanfom tu mm nimenunua Godora lina miaka 9 sasa iv hakuna cha mtumbwi wala nn ,cha muhimu nenda kwa wale madealer wa viwandan hawauzi fakeGodoro ni tanfomu, sema kujua fake na og ndo miyeyusho, uanaweza uziwa fake kwa bei ya og,
sasa mwaka mmoja alifu,subiri hata miaka mitatu hivi angalau.Hii mkuu sikubaliani na wewe, mimi ninalo nchi 10 nilinunua kwenye duka lao mpaka leo lipo fresh na umeshapita mwaka mmoja sasa.
zenjYanapatikana wapi ya mtumba
Jaribu pia kutazama na magodoro ya GSM yapo vizuri, sasa sijui yanatengenezwa na moja ya hizo kampuni ulizozitaja au vipi.