Bei ya Godoro la Tanfom Arusha na QFL Dodoma

Gan star

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
380
979
Wakuu nataka kununua godoro bora, na sio la kuumiza mgongo, katika kutafuta taarifa humu nikagundua Magodoro ya Tanfom na QFL magodoro Dodoma ndiyo the best. Kama kawaida nikaingia mtaani kusaka godoro la inch 8, 5×6.

Kwa kampuni zote mbili, wengine wanauza 260000, wengine wanauza 300000, nilipomuuliza anayeuza 300000 kuwa kwa nn wengine wanauza 260000 na yeye kang'ang'ania piga ua mwisho 300000, akadai hayo ya 260k ni fake.

Naomba msaada kwa waliowahi kununua haya magodoro upande wa bei, je bei ya 300k kwa inch 8 , 5×6 ndo bei yenyewe au miyeyusho.

Natanguliza shukrani
 
fake kivipi?

kwan unataka ulalie milele mkuu na hapo ulipo unatumia godoro gani au unalala chini?

wewe nunua lolote kati ya hayo ili mradi ni godoro, watu tunalalia nyasi, ngozi na pamba wewe unawaza godoro?
He kwanini ulalie godoro ili mradi? Sidhani kama unayatambua madhara ya kulalia godoro ambalo lina matatizo. Kulalia nyasi ni sawa kama huna uwezo wa kununua godoro
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom