Bei ya DStv

MUSIGAJI

JF-Expert Member
Dec 26, 2014
2,235
2,660
Wakuu poleni na mizunguko ya siku,Naomba mnisaidie kwa mwenyekujua,Decoder ya DSTV na ungo wake unauzwaje? Pia naomba msaada je kama mtu una decoder ya DSTV lakini hauna ungo kuna uwezekano wa kununua ungo bila decoder?kama inawezekana ungo unaweza kununua kwa bei gani?Asanteni wakuu.
 
Ilikuwa 79000(dekoda+dish) msimu wa xmas na new year sijui kwa sasa hivi itakuaje
 
Lakini Mbona zilizopo zinatosha Kama TBC,Star tv,Channel ten,ITV na Clouds tv.
Ebwana wee nilikuwa sjuw kama na hizo zimo, vip kuhusu chanel ya mieleka na wb zipo kwenye kifulush gani? Na je kifueushi kikiisha inakuwa wanabakiza chaneli gani?
 
Mkuu kifurushi kikiisha lazima ununue kifurushi kingine maana hamna chanel hata moja inayobakia labda ile yao ya matangazo ya dstv namba (100) ndo tu huwa inabaki tu
 
Ebwana wee nilikuwa sjuw kama na hizo zimo, vip kuhusu chanel ya mieleka na wb zipo kwenye kifulush gani? Na je kifueushi kikiisha inakuwa wanabakiza chaneli gani?
Hakuna channel rasmu ya mieleka but ipi e tv ambayo pia uko startimes huwa inaonesha mieleka na inapatika na kwenye vifurushi vyote kuanzia kile kifurushi cha chini kabisa cha Mambo ambacho ni 23,500# kwa mwezi.Kifurushi kikiisha Hakuna channels zinazoonyesha zaidi ya Dish ambayo ni matangazo na channels mbili za kichina mojawapo ni CCTV
 
Hii channel maarufu kwa mieleka haipo DSTV mkuu???
15da8624731606f85aad7cf2a8a49836.jpg
 
Mie nimeulizia maduka ya kawaida mkuu,na ni bila bando pia.
Well, kama unataka kusave 15,000/ ili walau ununulie bando, nenda ofisi zao.
Mimi nachoshwa ba hivi ving'amuzi kwa kweli, vinaniweka njia panda. Nimeona hivi vya bure havina tija kabisa, lakini pia ukiangalia Azam, Zuku, Ting, Startimes vyote kuna kitu unapata lakini pia kuna kitu utakosa. Nashindwa ninunue kipi kwa kweli.
 
Hakuna channel rasmu ya mieleka but ipi e tv ambayo pia uko startimes huwa inaonesha mieleka na inapatika na kwenye vifurushi vyote kuanzia kile kifurushi cha chini kabisa cha Mambo ambacho ni 23,500# kwa mwezi.Kifurushi kikiisha Hakuna channels zinazoonyesha zaidi ya Dish ambayo ni matangazo na channels mbili za kichina mojawapo ni CCTV
Hata tbc hakuna si nilisikia kwamba chanel zote za hapa nyumabni lazima zibakia am?
 
Hii channel maarufu kwa mieleka haipo DSTV mkuu???
15da8624731606f85aad7cf2a8a49836.jpg
Je inajuwaje kama mvua ikianza kunyesha inaendelea kuonyesha au inakata kama azam? Na pia muonekano wake yani uclear ianaweza fanana na azam ipi bora zaid
 
Back
Top Bottom