napenda kuuliza zile tractor za millin 20-35 ukitaka kuikopa ikiwa na tela lake panoja na PTO water pump itagarim sh ngapi kwd miaka mitatu? na je marejesho kwa mwez inaweza kuwa Tsh ngapi?
napenda kuuliza zile tractor za millin 20-35 ukitaka kuikopa ikiwa na tela lake panoja na PTO water pump itagarim sh ngapi kwd miaka mitatu? na je marejesho kwa mwez inaweza kuwa Tsh ngapi?
Mi nimefuatilia sabasaba bei sio hiyo kuna matrekta m.100 na mengine m 55 lkn swalaj yenye 4wd m 45 2wd m35 na aina zingine bila ya chochote nimecheki agri com na jkt pamoja na Jo deeper ndio bei izo kwa bei ulizo taja wewe ni vitrekta vidogo vidogo kuna mawakala wanakopesha lkn sijajua kwa kipindi cha 3 yrs ni kiasi gani bado nafuatilia nikipata data ntakujuza
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.