BEI YA AIR MAX

inezzle

Member
Oct 26, 2016
23
5
Habarin ndg zangu,naomba mnijuze bei za airmax fupi Na ndefu ambazo ni original kwa bei za kariakoo na kama ww utakua ni muuzaji kbsa itapendeza ukiniwekea na namba yko ya simu
 
upload_2016-11-29_13-50-13.jpeg

Tsh 3,7884.0 2016 new model


jd_product_list

On sale price Tsh 2,706.00
 
hivi nyie ni ke kweli,sio kwa kuvijua vitu huku,nimependa aisee...
 
Back
Top Bottom