Bei Poa Kupiga Simu Kwenda Tanzania Kutoka Nchi za Nje kupitia UmojaPhone? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bei Poa Kupiga Simu Kwenda Tanzania Kutoka Nchi za Nje kupitia UmojaPhone?

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Majengoe, Nov 3, 2011.

?

Ujumbe huu ni mzuri kwa jamii

Poll closed Jan 2, 2012.
 1. Ujumbe nahitaji ufafanuzi zaidi

  0 vote(s)
  0.0%
 2. Ujumbe umeeleweka vizuri

  0 vote(s)
  0.0%
 3. Ungependa na watu wengine wajue kuhusu hii huduma

  0 vote(s)
  0.0%
 4. Hukuelewa ni juu ya nini

  0 vote(s)
  0.0%
 1. M

  Majengoe New Member

  #1
  Nov 3, 2011
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siku kadhaa niliona hii kitu nasikia ndio wanaotoa bei ya chini ukilinganisha na makampuni mengine, nimejaribu na kuona kweli bei zao poa hasa kupiga simu kwenda Tanzania ni bei poa sana na mawasiliano simu ni moja kwa moja bila kurudia rudia. Kuna mtu mwingine ameshawajaribu tena ni ya watanzania wala si ya wakenya kama ilivyodhaniwa. Watanzania hatuko nyuma kiasi hicho.
   
 2. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #2
  Nov 3, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Inapatikana kwenye nchi zipi??
   
 3. M

  Majengoe New Member

  #3
  Nov 3, 2011
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukienda kwenye site yao ya umojaphone.com utaona wanaonyesha kuwa wanapatikana karibu nchi zote duniani na wanatoka huduma ya support masaa 24 nadhani wamiliki wako USA na nchi nyingine sina uhakika.
   
Loading...