Bei na ubora wa alienware gaming laptop

zink

JF-Expert Member
Sep 18, 2021
924
1,477
Habari wakuu nimevutiwa sana na hizi alienware gaming laptop, nauliza kuhusu bei zake pamoja na ubora wake ukishindanisha na kampuni kama hp omen, acer, msi,
na je hizi msi gaming laptop zina ubora gan maana zinanivutia kimuonekano.
 
Zote ni bora kinachoangaliwa ni specs. Kwenye laptop ni ngumu kukuta vitu fake fake kama simu.

Alienware ni kama Apple kuna Brand tax, Nyingi ni milioni 4 kupanda.
nimekuelewa mkuu na je kwanini waziite alienware kwamba zinauwezo mkubwa sana kama alien 👽 au janja za biashara
 
tuma na kapicha bas tuvijue wengine mkuu
04xorn15Mu6MDpo4WACowV4-4.fit_lim.size_985x.jpg
 
duuh sawa mkuu na vp kuhusu msi ni gaming nzuri maana napenda ule wembamba wake mkuu
Brand zote zina gaming laptop nyembamba mkuu, sababu cpu za kisasa hazihitaji nafasi kubwa sana kuzipoza.

Na msi ni kampuni kubwa sana kwenye gaming industry, hivyo hawana shida.
 
Brand zote zina gaming laptop nyembamba mkuu, sababu cpu za kisasa hazihitaji nafasi kubwa sana kuzipoza.

Na msi ni kampuni kubwa sana kwenye gaming industry, hivyo hawana shida.
Shukrani sana mkuu nmekuelewa lakin pia nisaidie hapa pc nayotumia uwa sometimes inaganda ya baada ya kutumia je tatizo ni nini mkuu
 
Shukrani sana mkuu nmekuelewa lakin pia nisaidie hapa pc nayotumia uwa sometimes inaganda ya baada ya kutumia je tatizo ni nini mkuu
I Kiganda fungua task manager halafu angalia ram, cpu, storage kama kuna hata kimoja kimejaa 100% ama kinakaribia.
 
I Kiganda fungua task manager halafu angalia ram, cpu, storage kama kuna hata kimoja kimejaa 100% ama kinakaria

I Kiganda fungua task manager halafu angalia ram, cpu, storage kama kuna hata kimoja kimejaa 100% ama kinakaribia.
Memory naona ipo 83 asilimia hii ina maana gan mkuu? kwa cpu naona 13 ad 23 na disk 5 asilimia nisaidie mkuu
 
Memory naona ipo 83 asilimia hii ina maana gan mkuu? kwa cpu naona 13 ad 23 na disk 5 asilimia nisaidie mkuu
Ina maana ram ni ndogo, unatakiwa kuongeza ram ama kama ram ni kubwa kuna program inakula sana ram.
 
Nimekuelewa sana chief ngoja ni adjust ram mkuu shikrani sana
 
Lakin pc ina ram 4gb nataka niweke ifike gb Iwe 8 inawezekana au kwa hp elitebook ina core 5 je bei shingap kwa ram ya gb4
 
Back
Top Bottom