NSSF wanamuhujumu Magufuli, hawana Pesa za kulipa FAO la kujitoa?Asante Rais Magufuli kwa kutupeleka Tanzania katika uchumi wa kati
Wamakusini tunafurahi matunda ya uchapakazi wako
NSSF wanamuhujumu Magufuli, hawana Pesa za kulipa FAO la kujitoa?
Kwanini wanalipa wafanyakazi 33% ya monthly salary badala ya mkupuo?
SEKTA BINAFSIWanaukumbi hasa wanaCCM hongereni na tukio kubwa la uwanja wa taifa Dar sasa kura zote kwa JPM.
Huku kusini Wamakuwa, Wamwera, Wandengereko, Wamakonde hadi waruingu sasa ni furaha kuu baada ya bei ya korosho kufikia 2799-3490 ambapo serkali yetu imapambana na wahujumu uchumi na walanguzi na sasa ni kuuza na kupiga pesa huku kila mtu akimtukuza Mungu na kuahidi kumpa kura JPM.
Wale mliozoea kutumia bei za korosho kisiasa itakula kwenu msimu huu wanakusini huwambii kitu jambo la muhimu ni kuwa kuna dalili za bei kupanda zaidi na siao kushuka tena huku kila mwananchi akiruhusiwa kuuza kokote atakako ishu ya kangomba kama kawa.
USSR
Hilo la mafao ameshindwaSerkali ya Magufuli haiwezi kushindwa kitu
Hilo la mafao ameshindwa
Au nyie mnamdanganya Rais...huoni NSSF wanamuharibia?
Wewe unadhani kila mtu Ni Chadema.Huo ni uwongo wa Chadema mwisho wao ni October
Tapeli mkubwa kama maccm mlivyoWanaukumbi hasa wanaCCM hongereni na tukio kubwa la uwanja wa taifa Dar sasa kura zote kwa JPM.
Huku kusini Wamakuwa, Wamwera, Wandengereko, Wamakonde hadi waruingu sasa ni furaha kuu baada ya bei ya korosho kufikia 2799-3490 ambapo serkali yetu imapambana na wahujumu uchumi na walanguzi na sasa ni kuuza na kupiga pesa huku kila mtu akimtukuza Mungu na kuahidi kumpa kura JPM.
Wale mliozoea kutumia bei za korosho kisiasa itakula kwenu msimu huu wanakusini huwambii kitu jambo la muhimu ni kuwa kuna dalili za bei kupanda zaidi na siao kushuka tena huku kila mwananchi akiruhusiwa kuuza kokote atakako ishu ya kangomba kama kawa.
USSR
Tapeli mkubwa kama maccm mlivyo
Sina shida ya kupotosha, Ungekuwa umetumia ubongo wako kusoma na kuelewa nilichoandika wala usingeandika huu utumbo.Usipotesha, mwaka jana bei haikuwa hiyo. Mwaka huu Kusini wote wanafura ya ajabu kwa serikali ya JPM. Kura zote kwake
Uchumi wakati lkn kuna bilioni 44 imepewa nchi ya Tanzania ktk kaya maskiniAsante Rais Magufuli kwa kutupeleka Tanzania katika uchumi wa kati
Wamakusini tunafurahi matunda ya uchapakazi wako
Africa is fighting independence for the second time everywhere. This indigenous colonialists like maccm represent the worst form of colonialism, because they can camouflage as if they have the best interest of people.Wanao mpinga JPM wamèbaki na aibu na fedheha kila upande.
Wewe unajua kitu gani zaidi ya kusubiri buku7?
Nilikuwepo Masasi wiki iliyopita hakuna bei hiyo ya tsh 3000 ebu acheni UJINGA wenu wa kiccm,kusini yote wanahasira na huyo Babu yenu tangia mwaka juzi 2018 alipojifanya ananunua korosho akazingua bado watu wanakusini tuna hasira nae na mwambieni kuwa wanakusini hawatafanya makosa mwaka huu
Kuna maheremu zaidi ya msaliti wa Nchi ?
Nakumbuka kauli ya korosho zirabanguliwa na mzinga wa tpdf, zikaishia kuozea ktk maghala
WAUUGWANA NATAFUTAAA WABANGUAJI WA KOROSHO WALIOPO JIJINI DA ES SALAAM TAFHADHALI... MAWASILIANO KWA EMAIL... yogiworld55@gmail.comWanaukumbi hasa wanaCCM hongereni na tukio kubwa la uwanja wa taifa Dar sasa kura zote kwa JPM.