Bei mpya ya korosho msimu wa 2020/2021 ni turufu kwa CCM

Asante Rais Magufuli kwa kutupeleka Tanzania katika uchumi wa kati

Wamakusini tunafurahi matunda ya uchapakazi wako
NSSF wanamuhujumu Magufuli, hawana Pesa za kulipa FAO la kujitoa?

Kwanini wanalipa wafanyakazi 33% ya monthly salary badala ya mkupuo?
 
Wanaukumbi hasa wanaCCM hongereni na tukio kubwa la uwanja wa taifa Dar sasa kura zote kwa JPM.

Huku kusini Wamakuwa, Wamwera, Wandengereko, Wamakonde hadi waruingu sasa ni furaha kuu baada ya bei ya korosho kufikia 2799-3490 ambapo serkali yetu imapambana na wahujumu uchumi na walanguzi na sasa ni kuuza na kupiga pesa huku kila mtu akimtukuza Mungu na kuahidi kumpa kura JPM.

Wale mliozoea kutumia bei za korosho kisiasa itakula kwenu msimu huu wanakusini huwambii kitu jambo la muhimu ni kuwa kuna dalili za bei kupanda zaidi na siao kushuka tena huku kila mwananchi akiruhusiwa kuuza kokote atakako ishu ya kangomba kama kawa.

USSR
SEKTA BINAFSI

NSSF wanamuharibia Magufuli

Magufuli awakemee nssf Mara moja

Nssf hawalipi FAO la kujitoa

Nssf hawana Pesa?

Kwa Nini wanalipa watu waliofukuzwa kazi au mikataba kuisha 33% ya monthly salary badala ya mkupuo?

Raisi alishafuta hiyo kanuni Hadi 2023!!!!
 
Tukio kubwa la dar la kuharibu uwanja au la kusema wanawake weupe ndiyo choice yake ya kwanza?
 
Wanaukumbi hasa wanaCCM hongereni na tukio kubwa la uwanja wa taifa Dar sasa kura zote kwa JPM.

Huku kusini Wamakuwa, Wamwera, Wandengereko, Wamakonde hadi waruingu sasa ni furaha kuu baada ya bei ya korosho kufikia 2799-3490 ambapo serkali yetu imapambana na wahujumu uchumi na walanguzi na sasa ni kuuza na kupiga pesa huku kila mtu akimtukuza Mungu na kuahidi kumpa kura JPM.

Wale mliozoea kutumia bei za korosho kisiasa itakula kwenu msimu huu wanakusini huwambii kitu jambo la muhimu ni kuwa kuna dalili za bei kupanda zaidi na siao kushuka tena huku kila mwananchi akiruhusiwa kuuza kokote atakako ishu ya kangomba kama kawa.

USSR
Tapeli mkubwa kama maccm mlivyo
 
......
JamiiForums-819570738.jpg
 
Kunogile..
Kwa kweli.. nafurahia sana kusoma habari nzuri zenye mifano hai...

Magufuli 2020💯
 
Tapeli mkubwa kama maccm mlivyo

Embu tulia.. ukuje uunge mkono.. unaipenda sana CCM sema.. kudonoa tu hapa..

Mbili nane.. kura yako naiona.. hata ukibisha.. unakuwa kama wale balitumbuliwa na kudokoa pesa za wananchi..

JPM 2020
 
Usipotesha, mwaka jana bei haikuwa hiyo. Mwaka huu Kusini wote wanafura ya ajabu kwa serikali ya JPM. Kura zote kwake
Sina shida ya kupotosha, Ungekuwa umetumia ubongo wako kusoma na kuelewa nilichoandika wala usingeandika huu utumbo.
 
Wewe unajua kitu gani zaidi ya kusubiri buku7?
Nilikuwepo Masasi wiki iliyopita hakuna bei hiyo ya tsh 3000 ebu acheni UJINGA wenu wa kiccm,kusini yote wanahasira na huyo Babu yenu tangia mwaka juzi 2018 alipojifanya ananunua korosho akazingua bado watu wanakusini tuna hasira nae na mwambieni kuwa wanakusini hawatafanya makosa mwaka huu

Hawatafanya makosa wanaenda na Membe. Teheehee tehe tehe tehe,!! Mwali aliyekuwa kawekwa ndani kusini, jasusi mbobevu aliyekuwa katika kikosi kazi cha kuhoji mateka Walibya. CV hii ni kali sana ya kuombea kura za urahisi.
 
Wanaukumbi hasa wanaCCM hongereni na tukio kubwa la uwanja wa taifa Dar sasa kura zote kwa JPM.

Huku kusini Wamakuwa, Wamwera, Wandengereko, Wamakonde hadi waruingu sasa ni furaha kuu baada ya bei ya korosho kufikia 2799-3490 ambapo serkali yetu imapambana na wahujumu uchumi na walanguzi na sasa ni kuuza na kupiga pesa huku kila mtu akimtukuza Mungu na kuahidi kumpa kura JPM.

Wale mliozoea kutumia bei za korosho kisiasa itakula kwenu msimu huu wanakusini huwambii kitu jambo la muhimu ni kuwa kuna dalili za bei kupanda zaidi na siao kushuka tena huku kila mwananchi akiruhusiwa kuuza kokote atakako ishu ya kangomba kama kawa.

USSR
WAUUGWANA NATAFUTAAA WABANGUAJI WA KOROSHO WALIOPO JIJINI DA ES SALAAM TAFHADHALI... MAWASILIANO KWA EMAIL... yogiworld55@gmail.com
 
Back
Top Bottom