Bei halisi ya kiwanja 20x20 kwa Moshono Arusha

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Nov 2, 2012
1,211
1,185
Habari wanajamii forums,

Nilikuwa naulizia bei ya kiwanja 20x20 kwa maeneo ya Arusha hasa moshono,maana mdau kaniambia sio chini ya milioni 10,kwa wadau WAZOEFU kiwanja ukubwa huo naweza kukipata kwa bei gani ambayo ni halali kabisa.

Ahsanteni.
 
Nenda manispaa/ardhi wanaviwanja vilivyopimwa kabisa na bei zake kwa Square meter.
 
utapata kwa milioni 10-12 ...waone kambele investment ni madalali mashuhuri northen region yote
 
Habari wanajamii forums,

Nilikuwa naulizia bei ya kiwanja 20x20 kwa maeneo ya Arusha hasa moshono,maana mdau kaniambia sio chini ya milioni 10,kwa wadau WAZOEFU kiwanja ukubwa huo naweza kukipata kwa bei gani ambayo ni halali kabisa.

Ahsanteni.
milioni 7, madalali ndio wanapandisha
 
Back
Top Bottom