Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,192
- 3,353
Hizi laptops kwenye maduka mengi ya hapa town huwaga na bei ndogo sana ukilinganisha na bei za online stores za kidunia kitu ambacho kinaumiza kichwa sana.
Kwa mfano laptop kama HP yenye processor za core i5 - 7th generation hapa bongo madukani zinauzwa laki 7 ila nikisech kwenye mitandao kibao kama eBay na amazon na hata gum tree na sijakuta kabisa hata bei inayokaribia kwa unafuu bei za hapa bongo.
Sasa najiulizaga sana, je hizi laptops ni za wizi au ni feki.