Behind every successful man is a great woman/behind every happy woman is a wise man!!

Karibu na asante NDT!Yani tunayosema hapa wala si magumu ila hua tunasahau tu kwamba tunachangia sana kumfanya mtu awe bora zaidi au kumharibu!Hahahaha hiyo avatar haihitaji maelezo kwa baba mchungaji bwana.. maana tulipiga mara ya mwisho tuko pamoja!
 
Inaonekana Rev wakati junky alikuwa balaa....nimeelewa ni kwanini you lost yourself amid the jungle in quest for Rev.

Hongereni mmetoka vizuri sana...natamani kuona ya sasa hivi uzeeni na Rev Masa
 
Na bado anapendeza pamoja na uzee!Ngoja atoke Guantanamo tutapiga mupya!
 
Hhaaaaahaha.....we mfikishie salamu zetu Guanta muwambie tunammisi sana jukwaani

Sala zimepungua na matokeo yake wanyang'anyi wamezidi mpaka wameanza kumpigia ndogondogo mama Mch.
 
tuwe shingo lakini tuwe makini maana hawa wenzetu ukilegea saaana anataka hadi akimaliza haja zake toilet ukamflashie, akimaliza kuoga pichu ukamfulie
 
Umeniona eeeh! hata kama sichangii inabidi nisicheze mbali kuna hawa wakina Kituko,Biggie na sasa NDtz wanaanza vizuri mwisho wanatupa ndoano.

Sasa Uporoto inabidi ubadilishe kila ulipoandika Lizzy unadike CM!!Au unataka :yell:kesi???
 
Hahaha! yaani Lizzy nina wakati mgumu we acha tu alipotea mwezi mzima nikadhani harudi tena naanza kwako na umeanza kunielewa ghafla karudi Can we be friends now lol!
 
:shock:Yani mwezi tu Uporoto??Kwakeli umeniangusha:disapointed:.....ena sana tu!!Mi sina tatizo my baba mchungaji is coming back kwahiyo nenda karekebishe kwako kabla hakujaungua:A S-fire1:!!!!
 
Sasa???Are we stil on?:suspicious:
ndo maana nakupenda shingo yangu...........nigeuzie popote utakapo najua patakua penye malisho yenye majani mabichi na chemichemi za maji baridi, na ardhi yenye rutuba
 
Back
Top Bottom