Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,493
swali la haja hili.... umeshawahi kusikia nyoka ndumilakuwili? basi ndio zao la familia ambayo inakua na wawili wenye kuwa vichwa nyumbani
Hahahahahh mpwaz! A snake with two heads....
swali la haja hili.... umeshawahi kusikia nyoka ndumilakuwili? basi ndio zao la familia ambayo inakua na wawili wenye kuwa vichwa nyumbani
kweli mkuu.... ni kuvutana tu nyumbani kama treni za TRL.... LOL!!!!!:A S-fire1:Hahahahahh mpwaz! A snake with two heads....
Behind every successful man is a great woman/behind every happy woman is a wise man
Thanks Lizzy... its a fairly balanced quote... what lies behind a happy man? dont we deserve happiness too (in addition to success?
and what about behind a successful woman?? hata hapo si panahitaji something behind? au success of a woman haiko realized?:suspicious:
swali la haja hili.... umeshawahi kusikia nyoka ndumilakuwili? basi ndio zao la familia ambayo inakua na wawili wenye kuwa vichwa nyumbani
Hehehe tena ndo ilikua ya mwisho..nadhani ilikua imebeba baraka zote!
Akikusikia!!Ye ndo baba mchungaji bwana..hawezi kuiba!Labda kuibiwa yeye!
kuna mengi ya kujadili kwenye hili, lakini naomba nikubaliane na jambo moja............wanawake ni shingo, ni nukweli usiopingika. Ukimpata anayejua anapokwenda, anaweza kupeleka kichwa chako huo kunakofaa, na haijalishi ka akichwa ni cha maana au la....sisi kwenye mechanics, tuchukulie msemo wa mtaani kuhusu Land cruiser ingine ile inayojulikana kwa ubora...mfano rahisi, ile iliyopo kwenye Hardtop n.k. huw tunaziita jiko la maana..........sasa kama mume ni jiko la maana, shingo inaweza kuamua jiko lichome nyumba au lioke mikate na cake.
sijui kama nimeeleweka!! Nitarudi.
Huko mbali hivyo!!Mbona mtakunywa sana kabla ya mfungo!!Tena atakuja kwa kasi kweli...anataka siri zenu za maungamo awaWikiliki!!!
Dada Lizzy samahani kwa hili swali
Ulikuwa kwenye Kitchen party ama kwenye kumfunda mwali wa kizaramo?, au umeshukia tu na ujumbe?, maana kwa wanawake wa "kisasa" ni vigumu sana kupata maneno kama hayo, ni ujumbe mzito sana ambao hata ukiuongea kwa wenzio wanaweza kukupinga
vipi umeolewa?
Thanks Liz,kuhusu topic mimi nilikataa kubebeshwa mtoto na kuosha vyombo lakini kila kitu kingine niko tayari kufanya nitapika kila usiku.The Following User Says Thank You to uporoto01 For This Useful Post:
Lizzy (Today)
J3 njema Uporoto!
Kituko jadili topic kuolewa/kutoolewa ni irrelevant.Dada Lizzy samahani kwa hili swali