Musa Kadiko
Member
- Jun 15, 2022
- 16
- 18
Behewa 14 za SGR zimeanza kuwasili nchini Tanzania kutoka nchini Korea
Taarifa njema sanaBehewa 14 za SGR zimeanza kuwasili nchini Tanzania kutoka nchini Korea View attachment 2424514
yaani hizi ndio behewa mpya tulizonunua au used? wanaona kuna umuhimu gani wa kupiga hizi picha, mbona kama wanajichongea wenyewe? it is really necessary?Behewa 14 za SGR zimeanza kuwasili nchini Tanzania kutoka nchini Korea View attachment 2424514
Ille toll road kibaha to Moro watapigaje hela sgr ikiwepoKuna issue imebuma huko Turkey juu ya kuvunja mkataba na juzi hapo kuna mabehewa yatapigwa mnada, sijui sana ila kuna mchezo unachezwa hapa.
But mvua ndo imeanza acha iendelee tuje tuone penye kuvuja.
Ukipata nafasi Hama afrika umasikini Ni kitu kibaya yaani kansa mbaya ama ugonjwa wakuogopwa kuliko magonjwa yoteBehewa 14 za SGR zimeanza kuwasili nchini Tanzania kutoka nchini Korea View attachment 2424514
Ccm out bf 2025.Behewa 14 za SGR zimeanza kuwasili nchini Tanzania kutoka nchini Korea View attachment 2424514