Behewa za SGR zaanza kuwasili nchini Tanzania

Kama mchina ametengeneza mabasi kama Yutong ambayo ni dizaini ya Marcopolo kwa bei chee, mnashindwa kumpa tenda atengeneze mabehewa yenye mwonekano mzuri badala ya kufanya refurbishment ya mabehewa na injini zilizotumika.​
 
Watuambie tu lini yanaanza kupiga mzigo, tushachoka kusubiri...
 
Hizo behewa zina tofauti ipi na mtu aliyevaa suti huku anatembelea ndala? Fundi Maiko hajui kuchagua rangi
 
Cheki wenzetu Egypt..mabehewa yanayoletwa
1669192275912.jpg
 
Halafu muandae watu wa kutosha kusimamia wabongo ndani ya hayo mabehewa!

Maana wengi wamezoea maisha ya kuharibu haribu tu vitu, kutokana na kukosa ile culture of care and maintainance.
Watanzania, kuanzia mtoto hata mtumzima, akiona kitu kizuri atakijaribu kwa kuharibu kwanza. Tuna safari mrefu sana.! ...inawezekana uharibifu wetu ikawa sababu ya kuletewa mabehewa ya kizamani hivi tena kuvuka bahari? 🤔
 
Kiukweli matusi yamenijaa mdomoni il ni ban tu.Mungu angenipa Urais nchi gii nadhan kuna watu wangekimbia nchi.Haiwezekan tufanyane watoto kwa namna hii.Hivi tumefikia huku kweli,yani tunadanganywa ata kwa macho
 
Tunaweza mkuu
kuna mabasi mazuri kabisa yanaundwa bodi hapa bongo, wanauza hadi kenya, kwamba kuunda tu behewa hizi ambazo ni sawa tu na kuunda matrailer ya malori n.k au mabodi ya mabasi, ndio tuagize toka ulaya yaliyochakaa?
 
Back
Top Bottom