Begi la abiria aliyeibiwa Ubungo akitokea Mbeya hatimaye lapatikana

impongo

JF-Expert Member
Feb 18, 2015
8,733
7,610
75327910fc06970fea0e35216498e7ac.jpg
 
haahahhaah matunda damu !dah
Sijaona Tunda Damu hapo,hapo kuna mboga za sukuma wiki,bilinganya,muwa,tikiti,nyanya na yao.
Hayo matunda unayoyaona yanaitwa "Magongwe" au Upareni wanayaita "Kilaume".

Hutumika kuongeza uchachu kwenye mboga,ni mazuri sana kwenye kuweka kwenye ule mlenda wa kusagwa.Kwa aina ya "Content" ya vilivyomo katika begi,muhusika atakuwa Msambaa au Mpare...Mbeya hakuna "Magongwe/Kilaume"....

Hili ni begi la Msambaa wa Lushoto kule Mtae au Vudee kwa akina Mdee
 
duh bas iringa tunayaita matunda damu mkuu !yana taste ya uchachu !
 
Sijaona Tunda Damu hapo,hapo kuna mboga za sukuma wiki,bilinganya,muwa,tikiti,nyanya na yao.
Hayo matunda unayoyaona yanaitwa "Magongwe" au Upareni wanayaita "Kilaume".

Hutumika kuongeza uchachu kwenye mboga,ni mazuri sana kwenye kuweka kwenye ule mlenda wa kusagwa.Kwa aina ya "Content" ya vilivyomo katika begi,muhusika atakuwa Msambaa au Mpare...Mbeya hakuna "Magongwe/Kilaume"....

Hili ni begi la Msambaa wa Lushoto kule Mtae au Vudee kwa akina Mdee
dah umenikumbusha mbali sana GT. Yani hayo maeneo 2007-2008 kale kabarabara ukitokea mombo nakupandisha juu nakuanza njia nyembamba ndefu pembeni ya mlima ukiangalia chini roho inadunda. Dah Mlalo Mabugaye.

Mr clean kaamua kujichimbia huko.
 
Back
Top Bottom