Beep au deep | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Beep au deep

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jewel, Dec 23, 2011.

 1. Jewel

  Jewel Senior Member

  #1
  Dec 23, 2011
  Joined: May 1, 2008
  Messages: 150
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Asalam alaikum wadau habari za masiku tele nilikuwa safari kidogo nimerdi namshukuru mungu.Jamani naomba kuuliza hivi katika simu ni kobeep au kudip maana wengine wanasema nibeep ,wengine nideep hivi ipi ni sahihi?
   
 2. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #2
  Dec 23, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,133
  Likes Received: 1,454
  Trophy Points: 280
  'Dip' nadhani ni nzuri kuliko 'deep'
   
 3. Al Zagawi

  Al Zagawi JF-Expert Member

  #3
  Dec 23, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 145
  kwa hiyo swali liwe 'Beep na Dip'?

  nadhani Beep ni sahihi zaidi kuliko Dip, nimejaribu ku-surf kwenye net na kukutana na comments hizi katika wikipedia.

  nadhani maana unayokusudia wewe ni hiyo ya mwisho, matumizi ya neno Beep kwenye mawasiliano hasa kupitia simu za kiganjani(mkononi)
  [/QUOTE]
   
 4. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #4
  Dec 23, 2011
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,107
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 0
  Binafsi huwa nashindwa kujizuia kucheka ninapomsikia mtu - especially mwanamke- akisema "ameni-dip"! Maana moja ya ku-dip ni kuingiza kitu sehemu.
   
 5. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #5
  Dec 23, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,045
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  AZ kamaliza.
   
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  Dec 23, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 29,284
  Likes Received: 4,256
  Trophy Points: 280
  bwiip...
   
 7. B

  Bijou JF-Expert Member

  #7
  Dec 23, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,141
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145

  jamani suala siyo ipi ina ladha nzuri katika kutamka, bali ni kidhungu!!!!! nashukuru mwana JF ameenda kwenye wikipedia, hope umefahamu???? ala zanzibar lol!!!
   
 8. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #8
  Dec 23, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 11,973
  Likes Received: 1,748
  Trophy Points: 280
  Beep= a short usually high piched sound (as from horn or electronic devices) that serves as a sign or a warning.

  Deep a. Adjective
  1. Extending far down or in.
  2. Difficult to undestand.
  3. Intense.
  4. Obsecure.
  5. Low in pitch.
  6. Dark.
  7. Invoked.

  b. Noun
  deep part.

  c. Adverb
  a great depth.

  %%%%%%%%%%%
  chagua jibu lako hapo then jingogee like za kutosha baada ya kupigia mstari.
   
Loading...