Lunyungu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 8,873
- 1,898
Ni dakika chache zimepita tangu nitoke pale UCC kuomba huduma ya wireless.Nikiwa naelekea huko nikawasikia akina mama 2 wanalia wanasema Uhaya na umimi umetawala UCC na Eric anawanyanyasa sana watu hapo . Ana dharau na majibu ya kuua mtu . Mimi sikujali nikasema wache nifike nitafute huduma ili Mjasiriamali mimi niweze kupeta kwa huduma ya wireless. Wandugu sikaumini kwamba kila kona ya ofisi niliangukia mkononi mwa Mhaya na hatimaye kwa Eric mtoto wa kuzaa wa Beda ambaye sasa anakamilisha ukabila katika UCC na kubadili sura nzima na kuifanya mali ya familia .
Mkandara uko hapo naamini unalijua mbona husaidii uko kimya ? Uhaya huu umepigiwa kelele sana hadi tumeamua kufanya investigation kujua kunani . Jamani hapa kuna watu wa UCC na UDSM kwa ujumla tusaidieni kujua kulikoni ?