Bed spaces zipangishwazo ughaibuni usalama wake upoje?

Udochi

JF-Expert Member
Jul 25, 2015
761
1,006
Wakuu,

Nimejaribu kufuatilia mtandaoni kuhusu bed spaces zinazopangishwa kwa ajili ya wageni hasa Dubai. Naona room moja ina vitanda vya kulala takribani watu sita.

Watu waishio katika chumba kimoja wanaweza kuwa ni wa kutoka nchi/sehemu tofauti ambao hawafahamiani.

Kwa hali hiyo. Upoje usalama wa mali za wanaoishi chumba husika? Hakuna uwezekano wa kuibiwa vitu na hata wengine kuwadhuru wenzao?

Kwa mlioko huko au mliwahi kufika huko naomba mnijibu kuhusu Kipengele cha usalama.
 
Wakuu,
Nimejaribu kufuatilia mtandaoni kuhusu bed spaces zinazopangishwa kwa ajili ya wageni hasa Dubai,
Naona room moja ina vitanda vya kulala takribani watu sita.

Watu waishio katika chumba kimoja wanaweza kuwa ni wa kutoka nchi/sehemu tofauti ambao hawafahamiani.

Kwa hali hiyo,
Upoje usalama wa mali za wanaoishi chumba husika?
Hakuna uwezekano wa kuibiwa vitu na hata wengine kuwadhuru wenzao?

Kwa mlioko huko au mliwahi kufika huko naomba mnijibu kuhusu Kipengele cha usalama.
Mara nyingi hivyo ni kwa akili ya Wafanyabiashara.

Pata Mwanga kidogo Hapa👇👇

Mara nyingi hivyo ni kwa akili ya Wafanyabiashara.

Pata Mwanga kidogo Hapa

Mimi namaanisha kwa wanaoenda kutafuta kazi, ambao hukaa kwenye hayo mabweni kufikia mwezi hadi miezi mitatu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom