englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,207
Nimelipenda hilo jikitanda!!Ningejimwagaje!!
Nimelipenda hilo jikitanda!!Ningejimwagaje!!
hata mimi nimekipenda dia wish tungelala pamoja hapo lol tungesahau matatizo yote ya ulimwengu huu wa dhikiKama kawaida...chaguo ni moja
..............................udongoni............wawazie pia sita kwa sita
bonge la kitandaaa na kwa mambo yetu yaleee basi raha tupu
Nimelipenda hilo jikitanda!!Ningejimwagaje!!
hata mimi nimekipenda dia wish tungelala pamoja hapo lol tungesahau matatizo yote ya ulimwengu huu wa dhiki
umejuaje?.............kumbe wewe wa kike?
Hiki chumba kama ofisi mbona makabati yenye madroo mengi sana.