Bed Cartography

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
2012-04-30-0b20eea.png
9Ru5fzTDz5OsZwAAAABJRU5ErkJggg%3D%3D
X

Bofffffff
 
kwa hii cartography inaonesha kwamba mke ndo anayestruggle kukeep the marriage fire burning!
i LIKE Mi WiFe 2be LIke dis!
 
Daaah hapa mkuu umenikuna kabisa mana sometimes siku hiyo hata ham do yale mavituz (pengine yupo red card) unashangaa keshakubana kinoma, nafasi kwake imebaki kuubwa..mwisho unakurupuka kumwambia asogee upande wake!!!!
 
umeona eeh?
 
Complementing the fact........kwamba mke ndo lazima atoke kwao na amfuate mume baada ya ndoa eeeenh?????

Nyie mkishashusha mzigo tayari, lkn kwetu sisi intimacy inaendelea. If feels so good to sleep on hubby's chest!
 
hapo bibie anaonekana hana mvuto kabisa ndiyo maana jamaa anabana kwenye edge...
 
Nyie mkishashusha mzigo tayari, lkn kwetu sisi intimacy inaendelea. If feels so good to sleep on hubby's chest!

mzigo ukishashuka sokoni ni kugeuza gari upande wa pili na kuanza kukoroma tu ...
 
yani bofffffffffffffffffffff haishi vituko. sasa hii umeipata wapi mkuu? it is very true..
 
Back
Top Bottom