MWANAJAMIA
Member
- Oct 21, 2016
- 47
- 45
Dah huwezi amini darasa la siku nane nimelipata kwa siku moja tu kwa bwana [HASHTAG]#Twaleeb[/HASHTAG]
ah! just fly in face of it chum!!sasa cha kufanya mkuu. niorozeshee mistake zote nazofanya .alfu nipatie solution what to do. nimefurahi kwa ushirikiano wako. nifanyie hiyo kwenye inbox.niwekee na contacts zako incase of anything.
asante
Dah huwezi amini darasa la siku nane nimelipata kwa siku moja tu kwa bwana [HASHTAG]#Twaleeb[/HASHTAG]
Ahsante sana japo najua huamini. Ila kiukweli kabisa darasa la siku nane nimeweza kulipata kwa siku moja na kulimaster lote.AaaaaH! your so funny mr! nikupatie hongera .
asante.
Ahsante sana japo najua huamini. Ila kiukweli kabisa darasa la siku nane nimeweza kulipata kwa siku moja na kulimaster lote.
Ahsante na pongezi za kipekee ni kwa Mr Twaleeb kwa kuonesha nia ya kusaidia vijana. Wengi walijua anatania alipo sema atafundisha free ila alikuwa anamaanisha alicho sema. Kijana stuka wakati wako ni sasa