Become A Satellite Tv Installar; Make Money installing DSTV,AZAM,FTA

MWANAJAMIA

Member
Oct 21, 2016
47
125
Dah huwezi amini darasa la siku nane nimelipata kwa siku moja tu kwa bwana [HASHTAG]#Twaleeb[/HASHTAG]
 

twaleeb

JF-Expert Member
Oct 13, 2016
232
225
Nashukuru mungu tumemaliza vizuri na wadau wameelewa vzr kesho nitakua mwananyamala anaehitaji kujifunza tuwasiliane
NB Elimu hii naitoa bure
 

Kim Il Kwon

JF-Expert Member
Nov 13, 2015
1,220
2,000
sasa cha kufanya mkuu. niorozeshee mistake zote nazofanya .alfu nipatie solution what to do. nimefurahi kwa ushirikiano wako. nifanyie hiyo kwenye inbox.niwekee na contacts zako incase of anything.
asante
ah! just fly in face of it chum!!
 

twaleeb

JF-Expert Member
Oct 13, 2016
232
225
Tunashukuru mungu tumemaliza salama coz ya siku 8 yenye kulipishwa laki moja waliokuja wameipata kwa bure na wameisoma kwa siku moja
 

MWANAJAMIA

Member
Oct 21, 2016
47
125
AaaaaH! your so funny mr! nikupatie hongera .
asante.
Ahsante sana japo najua huamini. Ila kiukweli kabisa darasa la siku nane nimeweza kulipata kwa siku moja na kulimaster lote.
Ahsante na pongezi za kipekee ni kwa Mr Twaleeb kwa kuonesha nia ya kusaidia vijana. Wengi walijua anatania alipo sema atafundisha free ila alikuwa anamaanisha alicho sema. Kijana stuka wakati wako ni sasa
 
Jun 1, 2016
57
95
Ahsante sana japo najua huamini. Ila kiukweli kabisa darasa la siku nane nimeweza kulipata kwa siku moja na kulimaster lote.
Ahsante na pongezi za kipekee ni kwa Mr Twaleeb kwa kuonesha nia ya kusaidia vijana. Wengi walijua anatania alipo sema atafundisha free ila alikuwa anamaanisha alicho sema. Kijana stuka wakati wako ni sasa


All the best!
 

MWANAJAMIA

Member
Oct 21, 2016
47
125
All the best!
5dd6f5027c82413c0825c7a1d5a949b8.jpg


Kesho nitaweka zingine
 

twaleeb

JF-Expert Member
Oct 13, 2016
232
225
nashukuru mungu waliokuja kujifunza wamejua na kuelewa wamepata mazoezi yakutosha kwa wanaohitaji wengine jumatatu darasa lengine linaanza
 

twaleeb

JF-Expert Member
Oct 13, 2016
232
225
tarehe 2/1/2017 kwa anaehitaji kujifunza cctv camera, phone extention(simu za maofisini), kutengeneza mashine ya kunynyolea kuku manyoya pamoja na incubator mnakaribishwa tuwasiliane kupitia namba 0622001223
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom