Become A Satellite Tv Installar; Make Money installing DSTV,AZAM,FTA

Achana na mambo ya dstv,azam,zuku,startime naomba kama kutakwepo na darasa weka la kufunga setellite pamoja na madishi yale ya zamani ya kuwekea lnb hata6 hapo tutakuja hyo laki 1 kozi itachukua muda gani?
 
mkuu yote hayo yatakuwepo,ndio pale nilipo ongelea Free to Air (FTA) channels zinapopatikana mkuu. kozi inachukua siku nane pia,ni kila weekends
asante kwa cooments!
 
hata kwangu ilo fta utalisoma bure
Achana na mambo ya dstv,azam,zuku,startime naomba kama kutakwepo na darasa weka la kufunga setellite pamoja na madishi yale ya zamani ya kuwekea lnb hata6 hapo tutakuja hyo laki 1 kozi itachukua muda gani?
 
kwa wale wenye startimes wanitafute nafungua startimes bure channel zote hulipii hata shilingi
 
Leo Mm naanza darasa mida ya saa nne asubuhi anaehitaji afike kigamboni kisha achukue daladala zakwenda kibada ashuke ungindoni aulize dar live ya zamani akifika hapo nipigie simu ntakuja kukufwata ama utanipigia cmu 0622001223
NB kwangu utasoma bila kulipia natoa elimu bure
 
dah! mkuu umestukiza sana najuta kukosa!
 
Tunashukuru mungu tumemaliza salama coz ya siku 8 yenye kulipishwa laki moja waliokuja wameipata kwa bure na wameisoma kwa siku moja
 
Mimi ni mmoja wa nilio hudhuria leo pale kigamboni ungindoni. Hahaha huwezi amini somo la siku nane nimepiga ndani ya dakika 40 na likawa limeisha lote.
Karibuni bana kwa bwan@ Twaleeb mjifunze. Na mimi pia natatoa nafasi kwa watakao taka kujifunza maana nimefundishwa bureeeee.
 
hahahaha,
 
Back
Top Bottom