dsat technology
Member
- Jun 1, 2016
- 57
- 11
- Thread starter
- #61
sorry for the late reply.
sawa hakuna shida,nicheki kwa hii namba 0654405727
sawa hakuna shida,nicheki kwa hii namba 0654405727
mi nataka kufungiwa dishi langu la dstv niko kinondoni
bei gani...come inboxweka namba tukutafute
Achana na mambo ya dstv,azam,zuku,startime naomba kama kutakwepo na darasa weka la kufunga setellite pamoja na madishi yale ya zamani ya kuwekea lnb hata6 hapo tutakuja hyo laki 1 kozi itachukua muda gani?
Achana na mambo ya dstv,azam,zuku,startime naomba kama kutakwepo na darasa weka la kufunga setellite pamoja na madishi yale ya zamani ya kuwekea lnb hata6 hapo tutakuja hyo laki 1 kozi itachukua muda gani?
dah! mkuu umestukiza sana najuta kukosa!Leo Mm naanza darasa mida ya saa nne asubuhi anaehitaji afike kigamboni kisha achukue daladala zakwenda kibada ashuke ungindoni aulize dar live ya zamani akifika hapo nipigie simu ntakuja kukufwata ama utanipigia cmu 0622001223
NB kwangu utasoma bila kulipia natoa elimu bure
ucjali kesho tunaendelea njoodah! mkuu umestukiza sana najuta kukosa!
hapana mkuu nimetangaza toka november,usijali january kuna intake nyingne,nitumie namba yako ili nikuweke kwenye list.dah! mkuu umestukiza sana najuta kukosa!
Kesho njoo mwananyamala asubuhidah! mkuu umestukiza sana najuta kukosa!
hahahaha,Mimi ni mmoja wa nilio hudhuria leo pale kigamboni ungindoni. Hahaha huwezi amini somo la siku nane nimepiga ndani ya dakika 40 na likawa limeisha lote.
Karibuni bana kwa bwan@ Twaleeb mjifunze. Na mimi pia natatoa nafasi kwa watakao taka kujifunza maana nimefundishwa bureeeee.
Mzee nimefika dar kutoka musoma vp darasa bado linaendelea nije?
karibu kigamboni darasa linaendeleaMzee nimefika dar kutoka musoma vp darasa bado linaendelea nije?
Gharama imekaaje?karibu kigamboni darasa linaendelea
bure utasomaGharama imekaaje?